Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi...
Sisi ni Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Jimbo la Mtambile, Wilaya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba katika eneo letu tunaloishi kumepita mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mtambile hadi Nanguji...
Precision Air wawajibike kwa kuwachelewesha abiria 'airport' bila maelezo yanayoeleweka, "tumekaa zaidi ya masaa matatu"
Abiria ambao tulikuwa na tiketi za kusafiri na ndege ya Precision Air...
Hali ilivyo katika Jiji la Mwanza, Wilaya ya Nyamagana, Kata ya Kishiri, eneo la Mtaa wa Mnazi Mmoja kuelekea Bukaga ni mbaya sana.
Wakati wa mvua, wananchi hushindwa kabisa kuvuka kutokana na...
Wanajukwaa habari za muda huu.
Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF .
Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na...
Mlikuja vizuri, mkatufungia router ndani, mkachukua details zetu na mkatutumia control number tukalipia 55,000.
Cha kusikitisha tangu tulipie mwaka jana mwezi wa 8 hadi leo huduma haijawahi...
Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO ...
Kila maeneo ukipita kwenye hiyo Barabara lazima utakuta kuna maeneo ni pabovu au kuna viraka kama vyote.
Serikali imekaa kimya, ajabu imeleta Mei Mosi ifanyike Njombe, hata hivi viraka vinazibwa...
Ninapenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu ujazo wa gesi ya kupikia.
Tarehe 24 March 2026 nilijaza gesi kama kawaida lakini cha kushangaza ni kwamba tarehe 10 tu ya mwezi Aprili gesi imeisha...
Mwanafunzi Mmoja wa Shule ya Msingi Mlembea iliyopo Tarafa ya Mashati, Wilaya ya Rombo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 13 amedai kubakwa na Wanaume watatu tofauti na kwa nyakati tofauti tangu...
Nimeona tangazo lako la Wafanyakazi wa UDART kulipwa mishahara midogo mno..... siyo wao tu hata ma-cashier wa Vodacom Mofat Road ya Mbagala, hatuna sehemu ya kuongelea kero zetu kwasababu...
Kuna hii mikopo ya Pikipiki na Bajaji inayotolewa na MO Finance (Kampuni ya Mohammed Dewji) hii mikopo ni kandamizi kupitia masharti yake magumu.
Mikopo hii ukishakopwa huwa wanahitaji marejesho...
Mh Mkuu wa wilaya na mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa Pwani najua huko kwenu mnalala usingizi ila sisi wana makurunge hatulali kutokana ka kelele za mitetemo kutoka kwenye bar ya REDOMAX.
Tuna...
Wafanyakazi hatulipwi kwa wakati na wapo walioingia kazini Nov. 2025 hawajalipwa mpaka imebidi waondoke na ni vijana waliotoka chuo, wanaishije?
Alikuja Mkurugenzi wa land planning somebody Mdeke...
Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu huduma ya TTCL hasa katika maeneo ya Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya.
Nimeomba kuunganishiwa huduma ya fibre kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, lakini hadi...
Hizi Kadi za Mwendokasi inabidi ziboreshwe, unakuta ikiwa mpya au haijapata shuruba zozote inaonesha Namba ya Card ambayo Imeprintiwa juu ya lamination...
Sasa lamination ikitoka Namba ya Kadi...
Kuna changamoto ambayo ipo kwenye Kampuni ya Ulinzi Suma JKT kutoa mkataba baada ya mkataba wa kwanza kuisha hupewi tena, changamoto ipo kwenye suala la kupata likizo ni inachukua muda kupata au...
Nimefanya kazi ya kuwauzia milango Wilaya ya Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara tangu Mwaka 2023 mpaka sasa sijalipwa, nimejitahidi kwa kadri nilivyoweza kuonana na wahusika lakini bado hali ni mbaya...
Mimi ni mdau na mtumiaji wa Stendi ya Makumbusho na eneo la Makumbusho ndipo palipo ofisi nifanyiapo kazi, kero yangu kuu kama mtumiaji wa stendi ile ni uchafu wa mazingira, hasa eneo au barabara...
Shida ni kwamba hizi Telecom Companies na pia other companies ambazo zinajihusisha na services za home internet hazisema ukweli interms of amount ya data unayopata, kwa mfano unaweza kulipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.