Hello bosses and roses...
Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo.
Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites...
Kijana amemaliza form four na pass za Phy C, Biology B, Chem A, na Maths Chaguo la kwanza aliomba Pharmacy, Chaguo la pili aliomba vyuo vya ufundi.
Sasa amepangiwa kwenda Advance PCM. Imekaaje...
Habari,
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter, Mwanafunzi wa Mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) nasomea Historia na sayansi ya siasa, namba yangu ya usajili 2021-04-01016
Siku za karibuni...
Serikali imuhimize mkandarasi anayesimamia ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa ikamilike kwa wakati ili kuepusha usumbufu wa muda mrefu kwa wananchi wanaotumia barabara hiyo muhimu kwa maendeleo yao.
Hali ilivyo barabara ya Tambani Mkuranga inayopita Mbande (Temeke) kwenda Kitonga(Ilala) tangu mwezi wa 1 haina marekebisho wala haipitiki na imekatika kabisa. TARURA Mkuranga na Mkurugenzi wa...
Kuna utaratibu wa TANROADS kuruhusu ujenzi wa majengo kwenye hifadhi ya barabara. Kuna ujenzi pia unaendelea kwenye hifadhi ya barabara za TARURA.
Wanachofanya nikuweka Katazo kwa lengo la wewe...
Hivi mamlaka husika zilikwenda likizo au ilikuwa ni agizo la muda mfupi au tuseme hawa Kisuma 5G wapo juu ya sheria?
Hii Bar imekuwa kero kwa wananchi wanaoishi jirani kwani kelele za mziki...
Katika maeneo ya CCM hata mpiji mwisho hatuna Maji ya dawasco.
Mwaka jana alikuja Mpiji Magoe mbunge wetu wa Kibamba akatupa taarifa kuwa mradi wa maji unakuja na akajinadi ni jihada zake...
Barabara ya kutoka Mbezi (Kwa Yusufu) kwenda Mpiji Magoe hadi Bunju imekuwa kama sehemu ya kitega uchumi.
Ipo chini ya TANROADS na serikali ya Magufuli iliweka bajeti ijengwe lakini bajeti...
Arusha ni jiji muhimu sana kiuchumi ukizingatia kuwa linaongoza kwa kupokea wageni hasa watalii.
Askari hawa wa usalama wanasababisha kero nyingi kama ifuatavyo;
1. Wamejazwa kila barabara ya...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Naiomba serikali kupitia vitengo vyake vya kusimamia majengo nchini kulifungia haraka sana hilo jengo linahatarisha maisha ya mwanaadamu.
Jengo la ghorofa 8 ni...
TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji.
Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini...
Wakazi wa Mbeya Mjini tunapata shida kubwa kipindi hiki cha mvua, barabara za mitaa zimeharibika sana, miundombinu imekua ni changamoto kubwa, barabara hazipitiki.
Maji yanapita barabarani, yaani...
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa...
Wakazi wa wilaya ya Morogoro eneo la Mkuyuni tumewakosea nini, kila siku iendayo kwa Mungu lazima mkate at least sekunde mbili au tatu na mida yenu ya kukata ni kuanzia saa mbili hadi nne...
Chuo cha MUST kina vijana wahadhiri wengi wameishia degree ya kwanza wanafundisha mpaka mwaka wa nne uhandisi. Ni wasumbufu mno wanachosha.
Ingependeza waishie kufundisha mwaka wa kwanza basi ...
Habari mimi ni mdau, changamoto yangu kubwa ni kuwa namba nyingi za simu za mashirika ya umma hazipatikani na zingine ukipiga zinakuwa hazipo...
Pamoja na changamoto hiyo, bado mashirika...
Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa...
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu.
Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami.
Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro).
Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.