KERO Threads

Anonymous
KERO 
Wafanyakazi wa Hospitali ya Ekenywa iliyopo Magomeni Mwembe Chai tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazopitia katika sehemu yetu ya kazi. Kwa muda sasa tumekuwa...
0 Reactions
2 Replies
91 Views
Wananchi tunahoji kwanini namba za NIDA hazijatoka zaidi ya miezi miwili toka zoezi la usajili wa namba za NIDA kufanyika katika kata za jiji la Arusha. Wengi wao wenye uhitaji wa namba za nida...
1 Reactions
3 Replies
78 Views
Anonymous
KERO 
Fedha za uhamisho na madai Halmashauri ya Karagwe ni kama mwendo wa kobe hasa Idara ya Afya sijui hizo pesa hazipo kweli au ndiyo kulipwa kwa kujuana. Madai ya Pesa toka mwaka 2023 ya uhamisho...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Anonymous
KERO 
Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna. Pia kama una hela kuazia jero...
2 Reactions
0 Replies
81 Views
Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imekuwa halipi kabisa likizo kwa watumishi hasa Idara ya Elimu Sekondari na hata wakilipa wanalipa kiasi cha fedha kidogo au wanalipa kwa baadhi ya walimu wachache...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Anonymous
KERO 
Mfamasia wa SONGWE DC, anahusishwa na kupokea rushwa za wamiliki wa maduka ya dawa, anatoa vibali kiholela kiasi kwamba population ndogo unakuta maduka zaidi ya manne na mengine hayana usajili...
1 Reactions
4 Replies
96 Views
Anonymous
KERO 
Awali, nyongeza za mishahara kwa watumishi wote zilikuwa zikitolewa mwezi Julai kila mwaka. Hata hivyo, baadaye Serikali ilianzisha mfumo mpya ambapo nyongeza hizo hutolewa kulingana na mwezi...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Anonymous
KERO 
YAH: MALALAMIKO KUHUSU CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA TRENI ZA DAR ES SALAAM – KIGOMA (ORDINARY NA DELUXE) Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto zinazoendelea kujitokeza katika huduma...
1 Reactions
0 Replies
64 Views
Anonymous
KERO 
Wanafunzi tuliomaliza masomo ya Diploma tunaomba msaada kuhusu changamoto ya kucheleweshewa vyeti vyetu. Kila tunapofika chuoni kufuatilia vyeti, tunaambiwa kuwa mashine ya kuchapisha au kutoa...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Anonymous
KERO 
Wananchi wa Kijiji cha Businde, Wilaya ya Kyerwa, wanaomba ufafanuzi kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya viongozi na watu waliotajwa kuhusika na ukataji miti na uchomaji mkaa kinyume cha sheria...
1 Reactions
0 Replies
38 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wanaotumia mfumo wa ESS kuomba mikopo wameeleza kukumbana na changamoto kubwa, hasa katika hatua ya kupata namba ya uthibitisho (OTP) inayohitajika kukamilisha maombi. Wanasema baada ya...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Anonymous
KERO 
Tunapaza sauti yetu kwa heshima kuhusu ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi kutoka kilo 50 hadi kilo 75. Uamuzi huu umetuletea changamoto kubwa sana sisi wafanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Anonymous
KERO 
Wananchi wanaotegemea magari ya Intel yanayopita Morombo wanakumbana na changamoto kubwa nyakati za jioni kuanzia saa 12. Magari mengi hukataa kuendelea na safari hadi Intel na huishia kupakia...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Kuna tabia ambayo imeanza kuota mizizi kwa baadhi ya mawakala wa usajili wa line za simu nchini, na ni wakati sasa wa kuikemea kwa nguvu zote. Kinachofanywa na baadhi yao sio huduma kwa mteja...
7 Reactions
22 Replies
477 Views
Anonymous
KERO 
KERO YANGU KUHUSU HUDUMA ZA BRELA – IDARA YA USAJILI WA MAJINA YA BIASHARA Niliwasilisha ombi la usajili wa jina la biashara kupitia mfumo wa BRELA kwa kujaza fomu pamoja na viambatisho vyote...
2 Reactions
8 Replies
280 Views
Anonymous
KERO 
Nilikuwa muajiriwa wa Halmashauri ya Kishapu kwa miaka miwili na nusu mpaka nikaacha kazi; ni zaidi ya miezi mitatu sasa imepita lakini mafao yangu ya PSSSF Bado hayajatimia yote Hali inayonifanya...
1 Reactions
2 Replies
94 Views
Anonymous
KERO 
Mi ni mmoja wa wananchi tuliotekeleza maelekezo ya National Identification Authority (NIDA) ya kurudisha vitambulisho vya Taifa vilivyokuwa na tatizo la kufutika kwa majina au namba ili...
1 Reactions
5 Replies
197 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mmoja wa wafanyabiashara nilipangishwa na manispaa ya musoma tangu mwaka 2018. Tumekua tukifanya shughuli zetu na kolipa kodi stahiki bila shida hadi ilipofika mwaka 2023 changamoto za...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja...
1 Reactions
8 Replies
159 Views
User interface si rafiki, errors kibao wakati wakutuma taarifa na hazieleweki, ukienda kuangalia manual huzikuti hizo errors, ama ukifungua manual unakutana na kitu ambacho ni tofauti kabisa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom