Wanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka chuo cha nkinga institute of health sciences wameambiwa walipe shilingi Laki mbili ya field kwenye account ya chuo halaf wakienda field wanajitegemea...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania), naomba kupaza sauti kuhusu uamuzi wa chuo kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40...
Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata
Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa...
Mabasi ya chuo hayana seatbelts, na inatokea safari za masafa marefu kuenda kwa mfano Tanga, Moshi, Pwani, kitu ambacho sio salama
Wanafunzi tunatamani waboreshe hayo mabasi au wabadilishe...
Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora...
Nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa katika usafiri wa Costa (mini bus) kati ya Masasi na Tunduru, umbali wa takribani kilomita 195.
Badala ya kutoa huduma ya safari ya masafa marefu, Costa...
Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu.
Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa...
Hizi ofisi hasa kipindi hiki cha BiTozo zina hali mbaya sana watu hawafanyi kazi waliyotumwa.
Unafika ofisini watu wanamajibu ya mkatomkato na nyondo juu wanajiona wanajuaaa kumbe hamna lolote...
Juzi kati kuna mtaro ya maji machafu imekatika na kusababisha kudumbukia tayari za magari na hata watu wanaotembea na hata huleta harufu mbaya katika makazi na kuathiri afya za watu
Tunaiomba...
Habari wana jamvi,
Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika...
Sisi walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026 tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI kuhusu hatima ya malipo ya fedha za kujikimu.
Hadi sasa zimepita takribani miezi sita...
Sisi ni Walimu wa Ajira Mpya 2025, Wilaya ya Gairo, hatujapewa fedha yetu ya kujikimu licha ya wenzetu wa Elimu ya Msingi kupewa, lakini sisi tunazungushwa tu mara hivi mara vile, swali ni je...
Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi watumishi wa ajira mpya wa mwaka 2026 katika Idara ya Elimu, Halmashauri ya Babati.
Hadi leo imepita takribani miezi saba tangu kuajiriwa kwetu, lakini...
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kufuatilia na kuhakikisha tunalipwa fedha zetu zote za kujikimu kwa mujibu wa mwongozo uliopo.
Tumepokea malipo hayo baada ya kuchelewa kwa muda mrefu, lakini...
Sisi ni walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026. Kwa muda sasa tumekuwa tukifuatilia malipo ya fedha zetu za kujikimu, lakini hadi sasa hatujapata majibu yoyote rasmi kutoka kwa...
Naomba tusaidie kupaza sauti huenda mamlaka zikasikia kilio chetu tukasaidika.
Sisi walimu ajira mpya intake ya March-July 2025 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Msalala hatujalipwa pesa zetu za...
Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado...
Waingizaji wa mizigo kutoka nje ya nchi tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kuchelewa kwa mfumo wa TBS kutoa Control Number.
Kwa mfano, ombi langu liliwasilishwa tangu Jumatano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.