KERO Threads

Anonymous
KERO 
Mimi ni mwajiriwa mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma. Wakati wa kusaini nyaraka za malipo ya fedha za kujikimu, kila mmoja wetu alisaini kiasi cha TSh 80,000 kwa siku kwa...
1 Reactions
8 Replies
190 Views
Anonymous
KERO 
Sisi wakazi wa Kijiji cha Patamela, Kata ya Saza, Wilaya ya Songwe, Mkoa wa Songwe tuna changamoto kuhusu mwekezaji ayetambulika kwa jina la Mathayo, ni kuhusu kumiliki eneo kubwa la uchimbaji...
2 Reactions
6 Replies
273 Views
Naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu tozo za usafi katika Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi. Tozo hizi zimekuwa kubwa mno kwa uwezo wa wafanyabiashara wadogo. Mfano, mama ntilie analipishwa Sh...
3 Reactions
7 Replies
156 Views
Taasisi nyingi za Serikali zinaweka namba za Ofisi za Simu ambazo hazipatikani na hata zikipatikana hua hazipokelewi. Hii ni kero sana kwa watu wanaohitaji msaada wa haraka au majibu ya haraka
4 Reactions
6 Replies
122 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi TAMISEMI, Manispaa ya Kigamboni, Idara ya Afya, Kituo cha Afya cha Chekeni Mwasonga hatujalipwa stahiki zetu za On call allowance, Extra duty, Overtime, Uniform allowance na hata pesa za...
3 Reactions
11 Replies
317 Views
Anonymous
KERO 
Hii changamoto ya wafanyakazi wa NSSF haswa wakaguzi wanaopewa majukumu ya kwenda kukagua katika taasisi mbalimbali kutotimiza majukumu Yao vizuri. Nimekumbwa na changamoto hii baada ya kupeleka...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mzazi wa mwanafunzi anayesoma katika shule yenu. Ninaomba kuwasilisha hoja yangu kuhusu malipo ya Shilingi 90,000 yaliyotakiwa kwa ajili ya masomo ya ziada kipindi hiki cha likizo...
1 Reactions
3 Replies
137 Views
Anonymous
KERO 
Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuna wanafunzi ambao tulisaini makubaliano ya ada kulipwa kupitia HESLB, lakini fedha hizo zilirudishwa HESLB. Tulipowasiliana na HESLB, tuliambiwa...
1 Reactions
7 Replies
128 Views
Anonymous
KERO 
Kipengele Cha Mdhamini kwenye mfumo wa kufanya application kwa mikopo wanafunzi wa Vyuo. Kuna utaratbu wa kutumiwa OTP kwa namba ya simu ya mdhamini kisha ijazwe kwenye mfumo wa maombi ya mkopo...
0 Reactions
2 Replies
102 Views
Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara. Kwa muda sasa...
2 Reactions
1 Replies
96 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na...
0 Reactions
5 Replies
312 Views
Anonymous
KERO 
Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Anonymous
KERO 
Tunaosoma mwaka wa kwanza katika City College Mwanza tunaleta malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kadi za bima ya afya, licha ya kwamba tulilipa ada ya bima tangu mwezi Novemba 2025. Hadi...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Anonymous
KERO 
Vijana tulioshiriki katika kampeni ya chanjo ya polio iliyofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei 2026 katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kati. Mimi nilifanya kazi katika Wilaya ya Misungwi...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Kero yangu ni kuhusu michango inayotozwa wanafunzi wa Shule ya Msingi VETA iliyopo Mbeya Mjini Wanafunzi wanatakiwa kuchangia: Shilingi 5,000 kila mwezi; Shilingi 1,000 kila wiki; Shilingi...
1 Reactions
3 Replies
87 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi tuliopo Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma hatulipwi pesa zetu za likizo na hawasemi changamoto ni nini, tunadai malipo ya tangu Desemba 3025 hadi Juni 2026.
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema...
0 Reactions
2 Replies
68 Views
Anonymous
KERO 
Mtumishi ajira mpya ya Februari 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, tangu tumejiriwa tumepewa pesa robo tu ya kujikimu kila tukiulizia pesa yetu iliyobakia tunaambiwa kwamba...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Mkoa wa Manyara, tunaomba msaada wenu kufichua changamoto na madai yanayoikabili halmashauri yetu. Tumekuwa tukikumbwa na uongozi usioridhisha kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Anonymous
KERO 
Tunaomba Serikali na mamlaka husika kufuatilia changamoto za ardhi zinazodaiwa kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ruvuma, hususan Kijiji cha Mtangimbole. Inadaiwa kuwa baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Back
Top Bottom