Ombi la Msaada: Utekelezaji mbovu wa Sheria ya Maternity kwa Walimu Wakuu
Habari Wadau
Pole na hongera kwanza kwa kazi nzuri ya kutupa sauti sisi ambao hatusikiki.
Nina kero ambayo inatuumiza...
Mimi ni mkazi wa Mji Mdogo wa Ikwiriri uliopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani.
Mji wa Ikwiriri unakua kwa kasi na tayari una idadi kubwa ya wakazi, lakini cha kushangaza...
Bodaboda tunapopeleka abiria SGR Asubuhi mara nyingi wanatukamata kisa tunashusha abiria nje ya eneo la jengo lao pale, wanatoa maelekezo kuwa wanataka tushushe ndani ya eneo la maegesho lililopo...
Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda...
Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025.
Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau...
Kikundi cha watu kilichojitambulisha kuwa ni Sungu Sungu wa Chamazi Msufini kinadaiwa kuwafuata wananchi usiku wa manane kudai fedha za ulinzi bila kuwa na vitambulisho wala barua kutoka kwa...
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO) uliwasilisha taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kutotekelezwa kwa ahadi za Serikali na kutopatiwa majibu kuhusu changamoto zinazowakabili...
Sisi ni vibarua wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Idara ya Mazingira na Bustani, tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuchelewa kwa malipo ya mishahara.
Kwa muda sasa, vibarua wa jiji...
Habari,
Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Kumekuwa na malalamiko kuhusu utaratibu wa kuanzishwa kwa michango mikubwa katika baadhi ya shule za sekondari za Wilaya ya Longido, hususan Shule...
Ndugu Wadau,
Mnamo tarehe 18 Julai 2026, kati ya saa 2 usiku hadi saa 7 usiku, katika Mji Mdogo wa Ilula, Wilaya ya Kilolo, kulifanyika operesheni ya kukamata wananchi iliyosababisha taharuki...
Halmashauri ya Jiji la Arusha, Ajira mpya elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu ila tukiuliza kuhusu pesa iliyobaki hatupewi majibu yanayojitosheleza, wanasema turidhike na hiyo hiyo maana kuna...
Kwanza, napenda kuwashukuru kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuwapa wananchi nafasi ya kutoa maoni, changamoto na kero zao kupitia jukwaa hili.
Ninaomba kupaza sauti kuhusu suala la malipo ya hela...
Mimi ni mtumishi Idara ya Kilimo Wilaya ya Bariadi kero yangu ni kuhusu Fedha ya Kujikimu, tangu mwaka 2025, Julai tulipo ajiriwa tumepunguzwa laki Moja tu kati ya laki 6, baadhi ya tulioingia nao...
Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
Ajira Mpya Urambo Tabora, tangu January 2026 Idara ya Afya na Walimu hatujalipwa fedha za kujikimu, tukiuliza tunaambiwa fedha zetu hazijafika, zilizofika ni awamu hii ya mwishoni Ajira ya May...
Watumishi wapya wa Idara ya Afya walioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, hatujalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa.
Kila tunapofuatilia malipo yetu...
Halmashauri ya Lushoto inachelewa kuwapa Watumishi Posho zao za kujikimu walioajiriwa Mwaka 2026, hivyo kufanya vijana kuishi kwa ugumu huku Ugenini.
Wakati Halmashauri nyingine ndani ya Mkoa na...
Halmashauri ya Wilaya ya Mtama inakabiliwa na upungufu mkubwa wa magari ya wagonjwa. Kwa sasa kuna magari mawili pekee yanayofanya kazi, lakini ni moja tu linalotumika mara kwa mara kutokana na...
Sisi wananchi na wafanyabiashara wa Stendi ya Muda ya Bweri, Manispaa ya Musoma, tunatoa wito kwa Serikali na mamlaka husika kusikiliza kilio chetu kuhusu agizo la kutakiwa kulipa shilingi 50,000...
Uhamiaji kumekuwa na malalamiko ya rushwa na usumbufu katika mchakato wa kupata pasipoti. Baadhi ya waombaji wanadai kuwa baada ya kujaza taarifa Mbagala na kwenda Posta kuchukua pasipoti, hupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.