Watumishi tuliopo Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma hatulipwi pesa zetu za likizo na hawasemi changamoto ni nini, tunadai malipo ya tangu Desemba 3025 hadi Juni 2026.
Mimi ni mtumishi Halmashauri ya Mbomba mkoa wa Songwe ajira mpya Kada ya Afya tunadai pesa zetu za kujikimu kwa muda mrefu sana sasa, Julai 12, 2026 wamelipa ila wamelipa pungufu wakati walisema...
Mtumishi ajira mpya ya Februari 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, tangu tumejiriwa tumepewa pesa robo tu ya kujikimu kila tukiulizia pesa yetu iliyobakia tunaambiwa kwamba...
Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Mkoa wa Manyara, tunaomba msaada wenu kufichua changamoto na madai yanayoikabili halmashauri yetu.
Tumekuwa tukikumbwa na uongozi usioridhisha kuanzia...
Tunaomba Serikali na mamlaka husika kufuatilia changamoto za ardhi zinazodaiwa kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ruvuma, hususan Kijiji cha Mtangimbole.
Inadaiwa kuwa baadhi ya...
Maombi ya hati kupitia mfumo wa e-Ardhi kwa wakazi wa Dodoma bado yanaendelea kuwa changamoto kubwa. Mtumiaji anaweza kufanikiwa kutuma maombi kwenye mfumo, lakini maombi hayo hukaa muda mrefu...
Kuna barua inayosambaa kutoka Wizara ya Afya ikionesha uwepo wa ufadhili wa masomo kwa watumishi wenye Diploma kupitia mradi wa Beginning Fund kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Cha kusikitisha ni...
Baadhi ya Wanafunzi UDOM wamekwama kwenye issue ya usajiri na hii ni kutokana na mfumo wao wenyewe kuna muda unakuwa mzito ukiomba ktu kinachelewa muda mwengine control numbers zinakuja mbili...
Malalamiko ya ucheleweshaji wa kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi wa Taasisi za Umma ( Mfano: Elimu) walioomba kuhamia vituo vingine vya kazi kwasababu mbalimbali yameendelea kuwa mengi siku...
Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu yanayoendelea katika Kituo cha Afya Makurumla (zamani Mianzini) kilichopo Mburahati, Dar es Salaam.
Kwanza, kuna changamoto kubwa ya malipo ya overtime kwa...
Wana bodi, kumekucha, tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia uzima.
Naomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshwaji wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Majengo, Kizota na Stendi Ndogo ya Mnada Mpya...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu ucheleweshwaji wa mishahara kwa watumishi wa Hospitali ya St. John Paul II iliyopo Kaliua, Tabora.
Kuna madai kwamba watumishi wa hospitali hiyo wamekuwa...
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya wa Februari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma.
Tunaomba msaada wa kufikisha kero yetu kwa mamlaka husika ili suala la malipo yetu lipatiwe ufumbuzi. Hadi...
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Magu.
Nimefuatilia marekebisho ya herufi moja kwenye jina langu la mwanzo katika kitambulisho changu cha NIDA. Nimekamilisha taratibu zote nilizoelekezwa, ikiwemo...
Waajiriwa wapya wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, tunaomba Wizara na viongozi husika kutusaidia ili tulipwe fedha zetu za kujikimu na nauli kwa kiwango kinachostahili.
Tumelipwa kiasi kidogo...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo wa baadhi ya askari polisi katika eneo la Daraja la Nyerere, Kigamboni, Dar es Salaam.
Ndugu yangu alikuwa akielekea Kigamboni kwa bajaji kwa ajili...
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Ngudu mkoani Mwanza, wafanyakazi wa ajira mpya 2026 bado hatujalipwa posho za kujikimu. Tunaomba mamlaka husika zishughulikie suala hili, na tunawaomba mtusaidie...
Naomba tupaze sauti kuhusu hali ya Barabara ya Kinzudi inayounganisha barabara ya Goba na Africana, ambayo kwa sasa imekuwa tishio kubwa kwa afya za wakazi, wafanyabiashara na watumiaji wa eneo...
Mimi Mkurugenzi wa Kampuni niliwasilisha taarifa zangu BRELA Mbeya kuhusu kupata Annual Return nilikamilisha process zote na Ada nikalipa ila zaidi ya wiki mbili nikawa napambania kupata a-approve...
Habari za muda huu ndugu wapenzi wa jukwaa hili la JamiiForums.
Kuna Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ikulu iliyopo jijini Mbeya, anaye julikana kwa jina la Godfrey Sitayila amekuwa kero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.