Nimeamua kuleta hili jambo mbele zako Waziri wa Elimu Prof Mkenda na TCU mtusaidie sisi tuliokuwa wahadhiri wa SAUT Tabora tulipwe haki zetu. Nimekuwa mhadhiri wa SAUT Tabora Kwa muda wa miaka...
Yaani ukisikia pesa inayotengwa na serikali kwa ajili ya mifumo mbali mbali nchi hii unawezwa kutokwa machozi.
Pesa nyingi utengwa kwa ajili ya ma IT wa mchongo ili kupiga TU pesa ya wananchi...
Hii inajitokeza hapa Morogoro Mjini kwani wale wanaostahili kupata huduma hawapati ni waliochelewa ndio wanaopata huduma. Ni ubabaishaji mtupu, Yani mtu anafika saa 1 asubuhi na kupewa namba lkn...
Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno.
Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua.
Pia soma:
- DAWASA kwanini mmeshindwa...
Habari JF,
Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya.
Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na...
Wakuu kwema,
Maji yamekuwa yakitoka machafu kwa muda sasa, sasa hivi hali inazidi kuwa mbaya, maji ni machafu sana mpaka yanatia mashaka kwenye usalama wake, mbali na kuwa machafu kama hivi yana...
DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji...
Sijui hii mamlaka inakwama wapi, ni wiki ya nne sasa Tabata Bonyokwa hatuna maji. Hii imekuwa kero ya miaka na mikaka na bado hatujapewa ufumbuzi. Tulipangwa kuwa kinajengwa kituo cha kusukuma...
Ndani ya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kuna majengo yanayotumiwa na baadhi ya wizara. Majengo haya ni hosteli za Chuo kutaja Wizara chache zilizopo mpaka sasa ni Kilimo, Viwanda, Maendeleo ya Jamii...
Chuo Cha Saut-Mwanza sisi wanafunzi tuliokwisha maliza masomo yetu kwa takriban miaka Sasa miwili tumekuwa tukiwadai Fedha ambazo tulizidisha, na baadae mkatupa maelekezo kuwa tuandike barua za...
Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma.
Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza...
Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi..
"This is too much"
Hii ni...
Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo.
Siku haiishi bila...
Mimi naishi mtaa wa Zavala - Kwambiki kata ya Buyuni Chanika Ilala Dar es salaam. Nyumbani kwangu na baaadhi ya nyumba za majirani zangu tumekuwa tukipata tatizo la umeme kukatika katika kila siku...
TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala
Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana...
Shida ni nini? Juzi mnasema umeme ni mwingi kupita matumizi shida mgao. Hii kauli haieleweki kukiwa na kukatika kwa umeme kama hivi.
Tutaweza kuuza umeme kwa jirani kweli kama alivyosema Rais Samia
Wakuu,
Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji.
Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka...
Wiki nzima shirika la umeme limeendelea na hujuma za kukata umeme bila taarifa na kuathiri maelfu ya wakazi hasa Dar Wilaya Ilala Kata Kivule na Mitaa yake umeme kwa siku unakatika zaidi ya mara...
Naomba kutoa kero yangu, mimi ni mkazi wa Buguruni mtaa wa Bint Madenge, mtaani kwetu zimewekwa takataka kwa zaidi ya mwezi mmoja na Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa anashuhudia uchafu huo maana ni...
Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.