Hivi TARURA Mkoa wa Mbeya, kilichowafanya mkamwaga vifusi kwenye hii Barabara ya kutokea Shule ya Sekondari Sangu kuelekea Benki Kuu na kuviacha bila kusambaza ni nani?
Barabara ni mbovu...
Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani.
Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi...
Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.
Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa...
Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka.
Hatua hiyo imekuja...
Licha ya kuwa na matangazo mengi ya wanasiasa kuwa bwawa la Nyerere limenza kazi lakini Suala la umeme mkoa wa katavi imekuwa changamoto kubwa Sana
Kila siku umeme lazima ukatike kila siku...
Wananchi na wakazi wa kata ya Kiomon hususani wanaoishi katika mtaa wa Kiomon tumekua tukipata kadhaa kubwa ya vumbi la Koyla kutoka katika viwanda vinavyozalisha chokaa, hususani kiwanda cha...
Na hili jua huku unapigwa mgao wa maji wiki nzima , ukirudi japo uwashe feni unapigwa mgao wa umeme basi unakaa kama mbuzi mwenye kiu ukibweka huku ulimi nje ......mtatuua jamani ..... achilieni...
Nina wiki sasa hapa Morogoro mjini, cha kushangaza umeme unakatika kila siku,sio asubuhi,mchana au usiku.
Nimeongea na wenyeji wanasema wameshajizoelea hizi shida. Tunamuomba Waziri mwenye...
Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.
Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja...
Utangulizi
Moshi mjini, maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia na utamaduni wa kipekee, sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya usafi.
Kituo cha mabasi kilichoko katikati ya mji kimekuwa kielelezo...
Ujumbe huu uwafikie LATRA Pwani na Dar es Salaam nakala kwa wadau wote Serikali, Wasafiri, Wamiliki na UWAMADAR
Kwa ,uda mrefu sasa kumekuwa na Tabia ya Daladala zinazokwenda nje ya Dar es Salaam...
Habari za muda huu wana JamiiForums,
Sorry kuna changamoto ya maji wilaya ya Mafinga mjini mtaa wa Changarawe sekondari mkoani Iringa.
Ambapo maji yamekuwa hayatoki kuanzia tarehe 1 mwezi wa 3...
Kuna wageni wanalalamika kuwa zaidi ya wiki sasa kila wakijaribu kuomba e-visa wanakuta website ipo down; wahusika tunaomba mcheki tafadhali
Mwingine kaandika hivi
"May I please ask for your...
Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo...
Habari wadau wa Barabarani, kumekuwa na changamoto kubwa kwenye Mtandao wa Polisi wa kuangalia Traffic Fine za magari na madeni ya leseni, mtandao huu umeacha kufanya kazi tangu mwanzoni mwa...
Tunaomba waziri wa sayansi na elimu ya juu na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) mtusaidie tuweze kupata wahadhiri wa kutufundisha masomo ya tiba kwa njia ya vitendo ngazi ya shahada ya kwanza (...
Wanafunzi wa UDOM college ya Education, wakati chuo kinafungwa kwa wiki moja tu, wanafunzi wanaobaki wanaambiwa kulipia tshs 5,200 ya hosteli ilihali malipo ya hosteli yamefanyika kwa mwaka...
Barabara ya mwendo kasi inayojengwa Mwenge hadi Tegeta imekuwa ni shida na kero kwa watuwanaoishi karibu na barabara hiyo kwa sababu mkandarasi anafunga barabara za kuingia kwenye makazi ya watu...
Viongozi jiji la Mwanza mko wapi kwa haya yanayoendelea stand za kuu za mabasi ya kwenda mikoani tena stand zote mbili hawa watu wanaokatisha tiketi za kuingia ndani ya stand wamejiwekea utaratibu...
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.
Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.