Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe...
Hili ni Daraja la Kijiji cha Mirongoine, Kata ya Mbuyuni mkoani Arusha viongozi wamekula fedha ya ukarabati wa daraja hili hadi inapelekea Wajawazito kuvunjika wakijitahidi kuruka kwenye mawe ili...
Baadhi ya Wanafunzi zaidi ya 150 hadi 180 hadi leo hawajapatiwa fedha zao za ‘boom’ la Kwanza (Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), walicheleweshewa boom mpaka ikafika wakati wa...
Hello habari za majukumu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa.
Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..
Ukienda...
Osterbay polisi upande wa uhakiki wa leseni na wale vehicles wanaopitisha wamejikuta miungu watu hawasikilizi wabongo zaidi ya wachina na wahindi wana kauli mbaya na lugha chafu kwa wabongo
Tunaomba muongee na viongozi wa halmashauri ya Chato, ajira mpya walimu toka tumeripoti kazini hatuelewi nini kinaendelea, tunaishi maisha ya shida hawajatupa hela za kujikimu in short tupo tupo...
Mh Rais ni wiki ya maji lakini kinyerezi hatuna maji.
Tumewalilia watendaji wa ukanda huu bila mafanikio.
Inavyoonekana upande huu unachangamoto na inakinzana nanmamlaka.
Mh Rais hii...
Nipo kituoni Kimara Korogwe nangoja Gari ya kwenda Morocco, mabasi zaidi ya Tisa yamepita kuanzia SAA 12.06 jioni nilipofika.
Magari yanapitiliza bila kubeba abiria, tumembananisha mtoa Huduma...
Hivi ni kwamba mmezoea kututesa wananchi? TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo mpaka mtutese hivi?
Mbona hakuna taarifa? Au mmemiss kutukatia? Hizi ni hujuma na unyanyasaji...
Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake.
Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti...
Ukiwa KENYATA ROAD (Mataa/Makoroboi) hadi kufika nata bajaji zimekua nyingi sana wa mbaya zaidi wanavunja sana sheria.
Wanapaki wanavyojisikia, wanageuza katikati ya barabara kuna wakati unaweza...
Nimeamua kuleta hili jambo mbele zako Waziri wa Elimu Prof Mkenda na TCU mtusaidie sisi tuliokuwa wahadhiri wa SAUT Tabora tulipwe haki zetu. Nimekuwa mhadhiri wa SAUT Tabora Kwa muda wa miaka...
Yaani ukisikia pesa inayotengwa na serikali kwa ajili ya mifumo mbali mbali nchi hii unawezwa kutokwa machozi.
Pesa nyingi utengwa kwa ajili ya ma IT wa mchongo ili kupiga TU pesa ya wananchi...
Hii inajitokeza hapa Morogoro Mjini kwani wale wanaostahili kupata huduma hawapati ni waliochelewa ndio wanaopata huduma. Ni ubabaishaji mtupu, Yani mtu anafika saa 1 asubuhi na kupewa namba lkn...
Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno.
Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua.
Pia soma:
- DAWASA kwanini mmeshindwa...
Habari JF,
Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya.
Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na...
Wakuu kwema,
Maji yamekuwa yakitoka machafu kwa muda sasa, sasa hivi hali inazidi kuwa mbaya, maji ni machafu sana mpaka yanatia mashaka kwenye usalama wake, mbali na kuwa machafu kama hivi yana...
DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.