KERO Threads

Anonymous
KERO 
Licha ya chuo pia kuwa na mazingira mabovu lakini uwepo wa mapori kuzunguka chuo imekuwa ni hatari kwa usalma wa wanafunzi. Wanafunzi wanakabwa, lakini chuo kimekuwa kinatoa matamko bila...
1 Reactions
9 Replies
631 Views
Anonymous
KERO 
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya ving’ora barabarani hata kwa magari binafsi na ya serikali yasiyo na sifa wala uhalali wa kutumia vifaa hivyo. Kisheria...
1 Reactions
1 Replies
382 Views
Kumekuwepo na usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanautumia huduma za mabasi ya mwendokasi. Abiria anapokata tiketi anaambiwa hakuna chenji asubiri mpaka itakapopatikana, hii ni sawa kweli? Huduma ya...
1 Reactions
2 Replies
336 Views
Anonymous
KERO 
TRA Tanzania wana customer care mbovu sana, wanatudharau wateja wao, hawataki kujibu kwa wakati na walikuwa na haja gani ya kufungua account ambayo hawaiendeshi? Katika ajira zilizotangazwa juzi...
2 Reactions
2 Replies
322 Views
Anonymous
KERO 
Kuna baadhi ya wakusanyaji pesa za taka wamekuwa na tabia ya kutotoa risiti baada ya kupewa pesa za taka. Takribani miezi mitatu mfululizo wakusanyaji pesa wanakuja na daftari ( counter book)...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Husika na ombi tajwa hapo juu naomba kwenu ninyi mnaohusika na Vivuko pale Busisi ongezeni vivuko ili muwasaidie wananchi mahali pale. Leo nimevuka pale lakini kwakweli hali ilivyo...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Anonymous
KERO 
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli...
2 Reactions
2 Replies
364 Views
Yaani Kiluvya kwa Sumaye, 4km kutokea barabara ya Njia 6 kweli hakuna umeme?. Nguzo 17 kuwasaidia wananchi wapate Umeme imekuwa ni changamoto? Napata mashaka na seriousness wa Tanesco Kibaha.
2 Reactions
6 Replies
381 Views
Kufuatia awali Soko la Mabibo "Soko la Ndizi" kudaiwa kuwa mikononi mwa Watu wachache ambao walikuwa wakihusika kuchukua mapato, Serikali kupitia Halmashauri ya Manispaa Ubungo ilitoa taarifa ya...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Mikoa mingi nchini Tanzania leo imekumbwa na tatizo la kukosekana kwa umeme kwa muda wote wa siku, jambo lililosababisha usumbufu kwa wananchi na shughuli za kimaisha. Wengi wanajiuliza ni nini...
1 Reactions
12 Replies
968 Views
Licha ya kero mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na Wananchi wenzangu kwa nyakati tofauti kuhusu Mwendokasi, lakini kuna kero ambayo imejitokeza kwa zaidi ya wiki sasa na haijapatiwa ufumbuzi...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Hallo. Kama title inavyojipambanua. Kati ya miji midogo inayokuwa ndani ya Halmashauri ya Mji wa Moshi, ni pamoja na Mji wa Himo ambao uko karibu na Mpaka maarufu wa Kenya na Tanzania(Holili)...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Anonymous
KERO Responded 
Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
KwetuKwanza
KERO Responded 
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Kagera Wilayani Muleba ni muhitimu wa Diploma in Animal Health and Production katika Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture kilichopo Muleba. Tangu...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Anonymous
KERO 
Shule ya ,singi Vikunai iliyopo Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam kuna changamoto kubwa Wanafunzi hawana madawati baadhi wanakaa chini. Shule pia inabebesha wazazi mzigo wa kutoza Tsh 500...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Salamu Wakuu, Kwa waliowahi kufika Kibamba kwenye mnada maarufu wa nyama tamu ya mbuzi, bila shaka mtakuwa mmekutana na changamoto kubwa ya miundombinu duni – hasa vyoo. Hali ni ya kusikitisha...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Anonymous
KERO 
Kampuni ya GEO SECURITY ya Arusha inalinda vituo vya idara ya maji pamoja na maofisi mbalimbali, tuna mkataba nao zaidi ya mwaka mmoja ila tulisaini mkataba wa mwaka mmoja tu na copy walibaki nazo...
0 Reactions
4 Replies
390 Views
BigTall
KERO Responded 
Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji. Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Swali kwa Mh Waziri wa maji, Kuna shida gani mpaka leo maji hayajaunganishwa majumbani wakati tenki lipo tayari, mashine ipo tayari, mabomba makubwa yameshasambazwa mitaani, Wananchi tunalazimika...
0 Reactions
4 Replies
564 Views
Mamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama. Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom