Hali ya uchafu imeendelea kutisha katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Moshi, ikiwa ni pamoja na stand kuu ya mabasi, kituo cha afya Mbuyuni, soko la Mbuyuni, kata ya Kiborloni, Njoro, Pasua...
Wakati Wananchi wenzetu wa maeneo mbalimbali wakilalamika adha ya kukosa huduma ya maji, huku kwetu Wakazi wa Mbezi Makabe hadi Msumi hali siyo nzuri na ni kama tumeshazoea hali hiyo.
Tunapata...
Wananchi wa mtaa wa Nyeburu uliopo kata ya Buyuni ILALA, Dar es salaam wameilalamikia mamlaka ya maji safi na mazingira DAWASA Kisarawe kwa kushindwa kufikisha huduma ya maji kwa zaidi ya miaka...
Wadau Kwema!
Hii ni chemba ambayo ipo barabara ya Mikocheni karibu na shule ya Alfa inamwaga maji machafu sana na maji hayo yana halufu mbaya sana. Kwa hali ni hatari kwa magonjwa ya mlipuko na...
Hapa Manispaa ya Songea, ni kama viongozi wameweka pesa mbele kuliko kuwajali Wananchi kutokana na mazingira yalivyo.
Binafsi sijui wanazingatia nini au vigezo gani kumpa tenda mtu ambaye kazi...
Wasafiri mnaopitia barabara hii hakika wanaona adha kubwa na taabu na uharibifu mkubwa wa barabara hii. Barabara hii ilijengwa na kuisha mwaka 1980 na Kampuni ya Lanari ya Italia na tangu wakati...
Barabara ya kutokea Mvuha kupitia Kibungo Chini Mission kuja mpaka kutokea eneo la Mikese imekuwa kero kwa kila raia anayeitumia, na ajabu ni kuwa barabara hii imekuwa hivi kwa muda mrefu na...
Chuo Kikuu cha Iringa mpaka leo hii hatujalipwa fedha zilizozidi sababu tukiwa mwaka wa 2 serikali iliongeza ada kwa sisi wanufaika wa mkopo na wakati tulikuwa tushalipa tukaahidiwa na chuo...
Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani.
Pia soma
- DOKEZO - Magomeni...
Wakazi wa Mtaa wa Magengeni, Kijitonyama, wamejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya ujenzi ulioanzishwa na jamaa mmoja kusitishwa kwa siku tatu huku ukiwa tayari umesababisha uharibifu mkubwa...
Mimi ni Mwananchi ninayeishi Shehia ya Kwahani, Wilaya ya Mjini Unguja Zanzibar, naomba mamlaka husika pamoja na baraza la Manispaa Unguja kushughulikia kero ya Maji Taka na mitaro inayotoa maji...
Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya...
Juzi nilikuwa Morogoro kwenye Mtaa wa Mganza, Kata ya Mindu, nilikutana na moja ya changamoto ambayo ukweli inawaumiza Wakazi wengi wa hapo.
Nilichokiona ni kuwa Wananchi wengi wa hapo...
Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea...
Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti
Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji...
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu.
Viroba vya takataka vimerundikwa kila mahali katika mitaa ya Jiji hili.
Wenye...
Mimi ni mkazi wa Mahina Mwanza, hii kero ya maji imekua Sungu Sana.
Sasa tunazaidi ya siku 3 Hakuna Maji na Hakuna taarifa yoyote.
Hivi wewe Mabula ni Mbuge au Boga
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji...
Barabara ya Kitete Hospital, kupitia bank ya damu hadi Game reserve imeota majani mengi kwa muda mrefu na haijawahi safishwa.
Hali hiyo inapelekea watembea wa miguu kuwa hatarini maana wanatembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.