KERO Threads

Anonymous
KERO 
Tarehe Machi 14, 2025 niliweka 20,000 ili niweke mkeka lakini cha ajabu hela haikuonekana kwenye akaunti yangu ya HELABET licha kutuma kupitia Mtandao wa Vodacom. Nikajaribu kuwapigia simu...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda...
0 Reactions
1 Replies
450 Views
Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
The Watchman
KERO Responded 
Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Niishauri serikali yangu ya Jamhuri. Changamoto huwa zipo, na tunakiri kabisa kwa sasa kuna changamoto kubwa ya usafiri kwa wakazi wa Kimara-Mbezi kutokea mjini Posta na Kariakoo. Serikali...
2 Reactions
1 Replies
386 Views
conoralbert
KERO Responded 
Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya...
0 Reactions
3 Replies
723 Views
Nyakijooga
KERO Responded 
Hii ndio hali ya Barabara ya Tabata - Kimanga kutokea Tabata Bima, barabara imeharibika sana hasa kutokea Chama mpaka Mawenzi. Gari nyingi zinaharibika kila siku na wakati mwingine hasa wakati...
0 Reactions
6 Replies
908 Views
Foleni ya Mwenge hali inazidi kuwa mbaya Bado kipande cha Mlimani City imekuwa kero Mtu unakaa kwenye foleni ukijaribu kuchomekea tu uwahi nyumbani faini inakuhusu Kwa hali inayoendelea Dsm ni...
3 Reactions
10 Replies
659 Views
Habari wakuu, Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, na maeneo mengine yote ya Goba maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu hapa Dar es salaam na mnufaika wa mkopo wa HESLB. Ilibidi nipate boom ndani ya siku 60 tangu chuo kifungue chuo kikuu ardhi leo ni siku ya 78 tangu tufungue...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/ Hizo hela siyo ishu, Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na...
11 Reactions
74 Replies
4K Views
Hawa vijana wanaokamata magari Dar kwa kisingizio cha wrong parking aliyewapa kazi anajua wanachofanya? Hii ipo sana Dar. Kuna vijana wanavaa uniform kama za mchongo hivi na wana vitambulisho...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Nachingwea mkoa wa Lindi kuna kero ya kulazimishana michango ya mbio za mwenge kila mfanyakazi anatakiwa kuchangia Tsh 10,000/= Hii ni lazima siyo hiari unaitoa wapi utajua...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Yani ni namna gani unaona kabisa Serikali bado haijawa serious, imagine maeneo ya Goba maji ya Dawasa hayatoki yapata week sasa na hatujui chochote kinachoendelea. Kufanya kazi serikalini...
4 Reactions
22 Replies
924 Views
Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi...
1 Reactions
0 Replies
316 Views
wahusika mbona kama mmeifumbia macho hiyi barabara kwamba nchi haina bajeti ya kuweza kuilekebisha hiyi barabara mbona hiyi barabara ndio inailetea fedha za kutosha serikari Makaa ya mawe...
0 Reactions
11 Replies
666 Views
Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa...
2 Reactions
5 Replies
700 Views
Barabara hii imekuwa ikitengenezwa lakini hata miezi miwili haiishi inafumuka, ina matuta kuliko Barabara za Changarawe wakati ni barabara kubwa (cross country road). Ukifika eneo la karibu na...
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Daladala zinazofanya biashara ya kusafirisha abiria kati ya Kigamboni kwenda Kongowe -> Mkuranga -> Toangoma kupitia Mjimwema zimegoma kufanya kazi baada ya kuwa na kipande kibovu hivyo kulazimika...
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Anonymous
KERO 
Naomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka husika ya LATRA, Daladala za Kigamboni Wilayani na Temeke hazifiki Wilayani, zinaishia Kigamboni Mwisho. Pili, nauli ya kutoka Kigamboni Mwisho hadi Temeke...
1 Reactions
0 Replies
296 Views
Back
Top Bottom