Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo?
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki...
Kutokea kijiji cha lungongole ifakara mkoan morogoro kuna hii barabara inatokea kilosa road kwenda mpaka kwenye kijiji cha kilama inaitwa mwiche road barabara hii inatumika pia na wakulima...
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu...
Mradi PMI Dhibiti Malaria mikoa ya Kusini Pwani, Lindi, Mtwara na Ruvuma kuna uonevu kwa iCCM providers kwa miezi mitano hawajaripwa na waliahidiwa kusaini mikataba ya kazi nalo bado hawajafanyia...
Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile.
Nilipokelewa...
Ninapenda kutoa malalamiko kuhusu huduma duni niliyoshuhudia katika Hospitali ya Aga Khan Iringa.
Nilimpeleka mke wangu siku ya Jumamosi majira ya saa 10:30 jioni. Tulipofika, tulikuta dada wa...
Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal.
Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni...
Wakazi wa Gongo la Mboto - Ulongoni B tunapata shida sana hasa ya kivuko cha watembea kwa miguu kinachovuka SGR kwa kuwekwa mbali mno.
Hali hii inafanya wanafunzi na raia wengi kutumia kalavati...
Katika jambo linalonishangaza ni kuwa mwaka huu 2025 mwezi wa nane Tanzania kama ilivyo Kenya na Uganda tunahost michuano ya CHAN na 2027 tunahost Afcon lakini jiji la Dar es Salaam kila kukicha...
Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na...
Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12...
Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana...
Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za...
Mheshimiwa Waziri,
Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa...
Kumekuwa na kigezo cha kuwa na cheti cha computer mtu akitaka kuomba kazi PSRS hali yakuwa watu tumesoma computer chuo kama somo zaidi ya mara mbili, na wao wanataka tena cheti cha computer hali...
Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma...
Mimi ni Mkazi wa Pemba ambaye mara nyingi nafanya shughuli zangu za Kibiashara Unguja na Dar es Salaam, kuna jambo moja ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu na ninaona kuna haja ya Mamlaka kujua...
Wakuu, nilikuwa sehemu nikakuta wazazi wanalalamika kuwa wamepeleka watoto shule ya English medium Mlowo iliyopo Mbozi mkoa wa Songwe ambayo inapokea wanafunzi wa day na boarding.
Sasa muda wa...
Mh. Rais ktk serikali yako waziri pekee aliye karibu na wananchi wako ni Dr. Dorothy Gwajima wengine hata matatizo yaandikwe mara ngapi huwezi kusikia wakijibu kero wananchi.
Hili la watoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.