Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua.
Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao...
Waziri wa kilimo anakila haja ya kukazia macho taasisi ya Mfuko wa pembejeo taifa.
Kwa utaratibu wa kuomba mkopo ni lazima uwambatanishe andiko la mradi ambalo linaelezea mpango mkakati wa ombi...
Kero ya Mabasi ya Mwendo Kasi (UDART) – Njia ya Kivukoni hadi Kimara
Ndugu zangu,
Naomba kuchukua muda kidogo kuzungumzia kero kubwa inayotukabili sisi watumiaji wa mabasi ya mwendo kasi...
Mimi mdau wa jamii forum, ninakero unayohusu idara ya maji katika wilaya ya Mafia kisiwa cha mafia mkoa wa pwan, maji wanayotumia wakaazi wa mafia si salama kwa afya za wakaazi kutokana kuwa na...
Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?.
Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto?
Hata barua yenyewe kujua...
Sitaki kuamini kwamba mataa ya kuongozea waenda kwa mguu na magari pale Kijitonyama siku hizi hayafanyi kazi!
Yaani ni kero kubwa sana kwa sababu unakuta zile taa za waenda kwa mguu unakuta ile...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na...
Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo.
Ukuaji...
Kwa mujibu wa maelezo yao @ritatanzania kituo cha miito (CALL CENTER) inakuwa wazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi sa 10 jioni, changamoto ni kwamba ukipiga simu ndani ya muda huo hawapokei...
Wazee huku Tunduma ni changamoto kuvuka aisee siku saba foleni haitembei, huu msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ni kero kubwa sana na hali hii inakwamisha...
Sisi Wananchi wa Kata ya Majohe Wilayani Ilala hapa Dar es Salaam tuna malalamiko kuhusu ubovu wa barabara inayotoka Gongolamboto kwenda Chuo Rada umbali wa kilometa tano.
Hali imezidi kuwa mbaya...
HABARI YA LEO WAKUU,
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Bw. Alberto Msando.
Kwanza nikupongeze kwa Uteuzi wako wa kuja kuiongoza Wilaya hii ya Ubungo, tuna matumaini na wewe tena sana...
Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani.
Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo...
Hii bank nadhani kwa sasa wanabweteka sana hawajali tena wateja wao. Imagine wateja 8 tu wanahudumiwa masaa matatu kwenye huduma za kutoa/kuweka pesa dirishani, hivi mnaajiili vilaza au?
Na kama...
Mgogoro wa ardhi unaoendelea katika eneo la Mbopo, Wilaya ya Kinondoni, umeibua malalamiko kutoka kwa Wakazi na Wamiliki wa viwanja wanaodai kunyimwa haki zao. Wananchi hao, wakijitambulisha kama...
Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa...
Licha ya tanki kubwa la maji la Bangulo kuzinduliwa mwezi march lakini bado maji yamekuwa shida Kinyerezi,maji yanatoka mara moja kila mwezi siku Moja kati ya tarehe 1 hadi 3 lakini cha ajabu Leo...
Siku moja natoka kazini (4 June 2025) nikakutana na mpenzi wangu maeneo ya mnazi mmoja hospital, kutokana na kelele zilizokuwepo pale nje ikabidi tusogee uwanjani kwakuwa kuna mwanga na usalama...
Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu.
1. Tandika Sokoni,
2. Temeke Sudani,
3. Temeke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.