Salam Wadau!
Shimo kubwa sana lipo barabara ya Mwembe Yanga, linahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Tafadhali lifanyiwe kazi haraka na mamlaka husika.
Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY.
Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni...
Ni aibu kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo maana Makabe barabara ni mbovu na hazipitiki kabisa.
Kuna foleni kuanzia Mwanza garage hadi Tabata Kavimbilwa. Wahusika punguzeni siasa tunataka barabara.
Ni kero ya muda mrefu na inaendelea kutuumiza wakazi wa makabe kuelekea Msumi.
Porojo za siasa zimekuwa nyingi huku wananchi wanateseka huku wahusika wakikaa kimya .
Muda huu kuna foleni kubwa...
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika.
Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa...
Pamoja na majukumu mengine TET kama chombo cha Serikali kimepewa jukumu la kusimamia na kuendeleza Elimu yetu nchini, pamoja na unyeti wa chombo hiki kimekuwa na utendaji kazi mbovu ambao kwa...
Barabara ya Makonde inayoelekea Kanisa Katoliki Mbezi Juu imekuwa kero ya muda mrefu kwa watumiaji wake, hususan wa vyombo vya moto, kutokana na mashimo mengi na miundombinu duni. Hivi karibuni...
Wakuu, najua hii ni ndefu kidogo lakini tafadhali soma mpaka mwisho ili tukomeshe jinamizi hili,
*******
Wakuu mimi ni mtumiaji wa huduma ya Postpaid kwenye mtandao wa Yas/Tigo, ambako ninanunua...
Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa sasa nchini Taasisi ambazo...
Tangia mwaka jana mwezi wa 12 (12/2024) mradi umesimama na mkandarasi hayupo eneo la kazi mpka sasa ningependa kujua shida nini au ni mkandarasi mwenyewe ama mamlaka yaan Tanroads Mwanza.
Mradi...
Naitwa Lutamila Malindi Ibrahim, mwanafunzi wa Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Nimesajiliwa kwa namba ya usajili: S3363.0137.2021.
Ninaandika kwa uchungu na hofu kubwa...
Vyuo vingi nchini viliyo chini ya NACTEVET haswa hivi binafsi havitaki kutoa haki ya mtu kufuta usajili na kujiunga na chuo kingine.
Serikali iingilie kati hili suala, watu wanakaa mtaani kwa...
Nina malalamiko kuhusu Kuanzishwa kwa Dampo (Jalala) Katika Nyumba ya Serikali, Eneo la Ntengere – Igulwa, Bukombe, katika kuliweka hili sawa kuna ushahidi wa picha zinazolionyesha eneo hili kwa...
Mradi wa miundombinu ya maji katika Kata ya Kanyigo, uligharimu shilingi milioni 684 na ulizinduliwa na aliyekuwa Naibu Waziri wa maji, ambaye sasa ni Waziri wa maji Jumaa Aweso, lakini kwa...
Soko la Stereo limekuwa na changamoto kwa wafanyabiashara.
Mnamo tarehe 11/04/2025 soko la stereo lilivunjwa kwa upande ili kupisha ujenzi. Wafanyabiashara tukahamishiwa barabarani kwa muda...
Habari.
Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa.
Cha ajabu ukipiga simu huduma...
Habari,
Ipo tabia ya wahudumu wa afya wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika iliyopo katika Kijiji cha Majalila hasa katika Idara ya Maabara (majina nayajua) na baadhi yao wapo Wodi ya Wazazi na...
Uongozi wa Taasisi ya Teknologia ya Dar Es Salaam ( DIT ) wazuia wanafunzi kugenerate control number kwa kuufungia mfumo na kuwaambia waandike barua waje kufanya special kinyume na utaratibu.
Nilichokiona Kawe kinashangaza. Hivi kweli eneo hilo bado halina stendi ya daladala?
Eneo la Kawe, maarufu pia kwa 'huduma za Mwamposa' ni kitovu cha usafiri ambacho kinahudumiwa na daladala...
Geti la kutokea Daladala kwenye Stendi Kuu ya Nyegezi kwenda Barabara Kuu (highway) ndilo hilohilo linatumika kama njia ya abiria kupita wakiwa wanaingia kutoka upande wa barabara kuu, kibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.