Licha ya Waziri Aweso kusema maji yawepo weekends, huku Morogoro hawafanyi hivyo. Mtaa wa Mfuruni kwa mama Milinga tunapewa maji siku Moja kwa wiki ambayo ni ijumaa tu tena masaa mawili au chini...
Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa...
Miezi minne iliyopita Mkandarasi mzawa alipewa kazi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutengeneza barabara ya takribani kilomita tatu kutoka Kimara baruti hadi Kilungule uwanjani...
Ndugu Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani hapa Tabora, Mh Magayane sisi wakazi wa hapa tunakuomba udhibiti suala la msongamano wa magari eneo la Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani...
Habari,
Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa?
Ni sheria gani...
Hili Jiji la Mbeya sasa kila kona ya Mtaa limegeuka kuwa kama Dampo maana siyo kwa kutapakaa kwa takataka kiasi kingi, licha ya kutokea kwa ugonjwa wa Kipindupindu katika baadhi ya kata hivi...
Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha...
Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa
Habari,
Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma -...
Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha...
Niende moja kwa moja kwenye jambo ambalo limekuwa changamoto na kero kwa Watanzania walio wengi. Kero yangu naipeleka kwa mamlaka inayohusika na kutoa vitambulisho vya taifa (NIDA). Kuna baadhi ya...
Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu.
Pongezi...
Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje?
Habari wadau. Kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwenye ukataji wa ticket online. Suala hili limekuwa...
Wazee hapa mtusaidie tu kupaza sauti maana hali sio shwari kipindi hiki cha watu kurudi makazini kwao.
Polisi kitengo cha usalama barabarani wamezuia magari kwa kigezo cha uhakiki wa leseni kitu...
Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali...
Nilikuwa nasafiri hivi karibuni nikitoka Shinyanga kwenda Igunga, nikiwa kwenye gari sikuamini macho yangu, kama kilometa mbili kabla ya kufika Stendi kuu ya mabasi Nzega, barabara imeliwa na vile...
Licha ya Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kwa zaidi ya mwaka mmoja kubainisha wazi mpango wa ujenzi wa Soko la kisasa eneo la katikati ya Mji ambapo lipo soko ambalo limekuwa likitumika muda...
Kuna ongezeko kubwa sana la wenye maduka ya spea za magari na pikipiki kuwa gereji bubu huku mitaani.
Sijui NEMC hawaoni hili kuwa tatizo sugu mbeleni. Uchafu wa oil na mafuta ya motokaa umekuwa...
Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi.
Kuna daraja liko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.