KERO Threads

Kuna tatizo sugu kwenye vyuo vya kati hususani chuo nilichosoma mimi cha Institute of Adult Education (IAE). Tangu june 2024 mwaka jana tumehitimu hadi leo hatuna AVN tukifuatilia tunaambiwa jibu...
3 Reactions
2 Replies
310 Views
Huku Arumeru umeme ni mateso vitu vimeunguzwa mpaka watu wamekata tamaa, kwa siku umeme unakatwa hata zaidi ya mara 20. Leo wameukata tangia asubuhi bila kujua tatizo ni nini. Ni hujuma...
1 Reactions
11 Replies
526 Views
• Mhadhara (80)✍️ Kule jijini Tanga (tena katikati ya jiji) ifikapo kuanzia saa tatu na nusu (21:30 Hrs) usiku hakuna usafiri wa daladala, bodaboda, wala bajaj licha ya kuwa abiria wanakuwepo...
2 Reactions
9 Replies
666 Views
Hasa maeneo ya Kisutu na kariakoo bajaji na bodaboda wamekuwa kero sana hawafauti foleni wala alama za barabarani na huko wakisababisha foleni zisizo na sababu tunaomba hatua dhidhi zichukuliwe ku...
1 Reactions
4 Replies
510 Views
Kila siku umeme unakata asubuhi unarejea saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwanini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi...
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Wakuu mwezi wa pili Sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu
0 Reactions
9 Replies
596 Views
Mimi ni kijana Mjasiriamali,miongoni mwa vijana wanaostahili kupata mikopo hii kwani Ninakidhi vigezo vyote. Lengo la kutoa mikopo hii lilikuwa ni kutuwezesha sisi wajasiriamali kuinuka kiuchumi...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimetoka Lindi leo kabla tu ya mchana na basi letu limeenda mwendo mzuri tu! Hata Vikindu foleni haikuwepo. Saa kumi na nusu ndo tunaikuta foleni ya Kongowe, imeanzia nyuma ya shule ya St...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni...
0 Reactions
5 Replies
783 Views
Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu. Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu...
14 Reactions
63 Replies
3K Views
Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi. Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo...
0 Reactions
2 Replies
525 Views
Wapo ndani ya hifadhi ya barabara wamegeuza kijiwe cha bodaboda na kukamata bodaboda wengine wanaopita na kuwatoza faini wakishinikiza kuwa huruhusiwi kubeba abiria eneo hilo kama haupo kwenye...
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Habari, Baada ya Mzalendo John Pombe Magufuli kuchukua madaraka alijitahidi kuboresha huduma za maji Kwa maeneo ya Ilala ilikuwa ni nadra sana maji kukatika, lakini Cha ajabu na masikitiko...
0 Reactions
4 Replies
424 Views
Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala...
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana. Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali...
1 Reactions
9 Replies
560 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm. Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
0 Reactions
3 Replies
694 Views
Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei...
2 Reactions
12 Replies
781 Views
Anonymous
KERO 
Mfano, ingia behewa namba 7 kwenye treni ya ordinary uone jinsi vyoo vilivyoharibika na ni zaidi ya mwezi sasa hakuna hatua zozote. Huu ni mwanzo wa kuiua treni yetu.
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Habari, Stendi ya Mbezi Chini kumekuwa kero kiukweli, sio magari au watembea kwa miguu yaani wafanyabiashara wamepanga bidhaa zao hadi kwenye barabara kabisa. Wengine wameegesha kabisa mabanda...
3 Reactions
9 Replies
725 Views
Back
Top Bottom