DOKEZO Threads

RIPOTA PANORAMA MWENENDO wa mambo katika Sekta ya Bima si shwari baada ya kubainika kuwa Kamishna wa Usimamizi wa Bima (TIRA), Abdallah Baghayo Saqware ameshiriki kuanzisha Chuo Kikuu cha Bima na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM. Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa? Kuna tatizo gani ambalo...
16 Reactions
127 Replies
14K Views
Wadau, Mara kadhaa kwa sababu za kijiografia imekuwa ikinilazimu kupata huduma za NHIF katika ofisi zile zilizo bandarini, kwa kweli huduma za pale mapokezi ambao pia ndio wanaopokea fomu na...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wakuu, salama? Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate! Kibaya zaidi kiongozi wa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wadau. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Kuna kikundi Cha porters (wabeba mizigo) Kiko Arusha Airport, Wanawabebea wageni mabegi kama msaada saa wakishushwa na magari kuwasogezea kwenye...
12 Reactions
56 Replies
5K Views
Kwenye mapungufu lazima tuseme na moja la pungufu kwa Idara ya Uhamiaji ni huduma mbovu si kwa wageni pekee hata kwa Watanzania. Idara hii imekuwa ikifanya shughuli zake kwa maringo na kujisikia...
1 Reactions
4 Replies
814 Views
USSR
DOKEZO 
Waziri Nape uko humu wasaidieni watanzania USSR
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo? Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Wakuu Katika kipindi HIKI cha ujenzi wa madarasa nchini unaoendelea, nimefanya mazungumzo na mafundi wakuu na wakuu wa shule mbalimbali na kukutana na malalamiko kuhusu mlolongo mrefu sana wa...
1 Reactions
0 Replies
698 Views
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania. Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa. Cha kushangaza na kusikitisha...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania kuna Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) ambacho kinaundwa na raia, I mean wale ambao siyo police officers but wapo ndani ya Jeshi la Polisi. TUGHE ina matawi mengi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KCMC imebaki jina tu, hospitali hii pendwa kwa miongo kadhaa sasa nakiri mbele ya umma, labda nipelekwe sijitambui ila kwa huduma nilizopata na kushuhudia kwa wateja wengne, hakika huu ndio mwisho...
60 Reactions
116 Replies
10K Views
Ndugu zangu kuna mgogoro wa ardhi unaondelea hivi sasa maeneo ya Majoe na mtu anayedai kwemba hilo ni eneo lake. Mwanzoni mwa mwezi huu zaidi ya nyumba 48 wakazi wake walitolewa kwenye nyumba...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Wana JF Nimetimiza wajibu wangu kuleta taarifa binafsi baada ya kuridhika na uchunguzi nilioufanya juu ya uzembe wa TCRA na Wizara ya Mawasiliano na usimamizi wa makampuni yanayotoa huduma za...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Uzembe unaofanywa na meneja wa DAWASA Kawe jijini Dar es-Salaam.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wafanyakazi hawa wa TAZARA hawajali kabisa wateja, wanawatukana na kuwafukuza kama watoto. Jana nimeenda TAZARA kwa ajili ya 'booking' ya mzigo, nimefika pale ofisi za mzigo TAZARA...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimeshuhudia mzigo mkubwa wa mayai yanavuka mpaka wa Mtukula na kuingia nchini. Nilivyojaribu kuuliza wenyeji nikaambiwa maboss wa vitengo vya Usalama na ukusanyaji kodi wapo kwenye payroll ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni fundi ujenzi wa kiwango cha kati nina vijana wa kazi 20, MSAADA september 2022, mwekezaji Mzawa alipewa eneo la wazi Ununio Beach na mmiliki Halmashauri ya manispaa kinondoni kwa kufuata...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine. 1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya) Yaani jengo la...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom