DOKEZO Rushwa ya ngono Chuo Cha SAUT -Tabora yakithiri

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Eratosthenes

Senior Member
Mar 13, 2013
102
114
Wakuu, salama?

Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate!

Kibaya zaidi kiongozi wa hili suala la kupenda rushwa hii ni Dean of Student ambaye ndio kinara wa penda penda hii! Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati maana sasa imezidi kwa sasa hapo chuoni.

Kuna haja ya kufanya behavioral modification miongoni mwa wakufunzi hao maana sasa kama hadi mtu anashindwa kuhitimu kisa mkufunzi analazimisha hadi apewe ngono ndo amruhusu sio vyema! This is too much aiseeee
 
Wakuu, salama
Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate...
Dean of students na eligibility ya ku- graduate wapi na wapi. Huyu si mhadhiri.

Sijaona evidence ya ukubwa wa hilo tatizo hapo hadi useme hilo tatizo limezidi.
 
Wakuu, salama?

Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate!

Kibaya zaidi kiongozi wa hili suala la kupenda rushwa hii ni Dean of Student ambaye ndio kinara wa penda penda hii! Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati maana sasa imezidi kwa sasa hapo chuoni.

Kuna haja ya kufanya behavioral modification miongoni mwa wakufunzi hao maana sasa kama hadi mtu anashindwa kuhitimu kisa mkufunzi analazimisha hadi apewe ngono ndo amruhusu sio vyema! This is too much aiseeee
Soma acha majungu,

Kama unaona umeonewa au hukutendewa haki Kwenye kutahiniwa kuna ruhusa ya kukata rufaa mtihani yako inasahihishwa na jopo.

Tatizo hamsomi mnaendekeza mapenzi ,Kwenye Recture hamhudhurii vipindi na mkihudhuria hamsikilizi mnakuwa mnafanya yenu mtihani ukija ziro halafu unakuja kulalamika huku sisi tukusaidieje?

Kama anapenda rushwa umeshindwa kumtengenezea mtegi ukawasiliana na TAKUKURU mkaenda naye gesti na TAKUKURU wakaja kumchukua? Hilo nalo linahitaji PHD?

Ndo maana tatizo ni nyingi wanafunzi ,Hamsomi na mkifeli mnaanza kumtafuta mchawi wenu.
Kutwa mzima mnashinda bar na gesti.SOMENI ACHENI ULEVI NA MAPENZI.
 
Wakuu, salama?

Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate!

Kibaya zaidi kiongozi wa hili suala la kupenda rushwa hii ni Dean of Student ambaye ndio kinara wa penda penda hii! Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati maana sasa imezidi kwa sasa hapo chuoni.

Kuna haja ya kufanya behavioral modification miongoni mwa wakufunzi hao maana sasa kama hadi mtu anashindwa kuhitimu kisa mkufunzi analazimisha hadi apewe ngono ndo amruhusu sio vyema! This is too much aiseeee

Ungeleta ushahidi kuwa Mwalimu x alimuomba rushwa mwanafunzi Y.
 
Ifikie hatua hili swala lisiwe nshu tena,mdada asiependa na hajui cha kufanya hawez na akili timamu hata akifeli ni sawa
 
Acha uongo, nadhani una beef na Dean of students. Dean of students hausiki na academic issues bali issues za wanafunzi kama psychology, ushauri, accommodation, masdili, welfare nk.

Kwa maelezo yako unadai anapenda ngono, na uspompa haugraduate. Dean of students Hana mamlaka yeyote ya kuzuia matikeo ya mwanafunzi Wala kuaccess matokeo ya mwanafunzi.

So, please acha kuchafua taasisi kwa individual interests zako. Kama una shida ya matokeo mwone examinations officer na sio kuleta majungu .
 
Dean akikuomba utamu we mkatalie tuone kama hautograduate.
 
Back
Top Bottom