DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Wasailiwa wa mitihani ya Practical, hususan katika kada ya Programming (ICT), tunashindwa kuelewa mchakato wa usahihishaji unafanyika vipi. Mara nyingi unafanya mtihani wako, kisha unaondoka bila...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Anonymous
DOKEZO 
Tafsiri halisi ya malipo haya ni ipi? Je, ni kwamba Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada, au shule zimebaini kuwa fedha zinazotolewa hazitoshelezi...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna kero inayohusiana na wanafunzi na wataalamu wanaosomea taaluma ya usingizi na ganzi tiba (Anesthesia) chini ya uuguzi. Kumekuwa na malalamiko kuwa baadhi ya viongozi wa Baraza la Uuguzi na...
1 Reactions
2 Replies
159 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kero yangu ni idadi kubwa ya bodaboda kutoka nje ya nchi hasa Warundi ambao wamekuwa wakijitambulisha kama ni Waha wa Kigoma wakati sio sisi tunaotoka Kigoma tukikutana nao tunajua kabisa kuwa...
5 Reactions
18 Replies
286 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Anonymous
DOKEZO 
Wakazi wa Kijiji cha Songoro, Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha, wameeleza wasiwasi mkubwa kufuatia kutoweka kwa wananchi wawili ambao hadi sasa hawajulikani walipo, licha ya jitihada mbalimbali za...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Shule tajwa hapo juu ipo Wilaya ya Ubungo, DSM kuna tatizo kubwa. Huenda sababu ya uhaba wa walimu au uzembe wa mkuu wa shule au mwalimu wa somo husika. Toka mwezi Januari 2026 hadi wanafunga...
6 Reactions
19 Replies
235 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's...
7 Reactions
45 Replies
722 Views
Anonymous
DOKEZO 
Ofisi za kampuni ya habari za Furaha Media zilizopo Mikocheni – Dar es Salaam zimekumbwa na taharuki kufuatia kuvamiwa na kikundi cha watu wanaokadiriwa kuzidi 60, wakiwemo walinzi wa kukodiwa...
12 Reactions
67 Replies
1K Views
Mh Rais hapo chini nimeweka nakara ya barua kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigela, mh Rais mkuu huyu wa mkoa amegeuka wakala wa matajili wa Geita hautetei sisi wanyonge wa taifa hili...
3 Reactions
34 Replies
565 Views
Tunamshukuru Mbunge Msukuma hakumung'unya maneno kwa kuelezea jinsi fedha ya Road Fund inavyochezewa, kinyume na sheria ya Bunge. Kuna Mkandarasi mzawa ninaye mfahamu alipata kazi nzuri tu...
19 Reactions
133 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
Barabara ya Mkuyuni, iliyofunguliwa mapema mwaka huu, inaonekana kujengwa chini ya kiwango kinachotarajiwa. Ikumbukwe kwamba mwezi Aprili kulikuwa na mafuriko makubwa yaliyosababisha hasara za...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Anonymous
DOKEZO 
Napenda kuwashirikisha changamoto niliyokumbana nayo wakati wa kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme katika ofisi za TANESCO Mikwambe, Kigamboni. Kwa kifupi, ofisi hiyo ni mpya na ina mazingira...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Anonymous
DOKEZO 
Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha...
0 Reactions
3 Replies
144 Views
Anonymous
DOKEZO 
Takriban mwezi mmoja uliopita, katika jukwaa hili kuliripotiwa malalamiko ya wadau wa elimu wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwalalamikia wamiliki wa shule ya sekondari ya...
2 Reactions
9 Replies
248 Views
KIGOGO TAMISEMI MATATANI, ATUHUMIWA KUMILIKI ENEO LA WAZI ZIWA VICTORIA Kigogo mmoja Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) akishirikiana na mtu mmoja mkazi wa Jiji...
1 Reactions
2 Replies
146 Views
Ni takribani miezi mitatu sasa nimekuwa nikipita katika Stendi ya Makumbusho na kuona eneo ambalo taka hurundikwa kwa ajili ya kuzolewa kwa pamoja. Kwa mtazamo wangu, hali hiyo si salama. Taka...
0 Reactions
6 Replies
145 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge. 1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Back
Top Bottom