Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) una jukumu kubwa la kuhakikisha kuwa wastaafu na wanachama wake wanapata huduma bora na stahiki baada ya miaka mingi ya kulitumikia taifa...
Kuna wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa mabasi yanayofanya safari kati ya Tabora na Mbeya. Inadaiwa kuwa baadhi ya mabasi yanayotumika katika njia hiyo yana hitilafu za kiufundi, huku yakisafiri...
Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo.
Kwa mfano, kuna vituo...
Tunaomba mamlaka husika na JamiiForums kutusaidia kufuatilia suala hili. Kwa takribani miaka mitatu sasa, Mwenyekiti na Mtendaji wa Mwime, Manispaa ya Kahama, hawajawahi kuwasilisha taarifa za...
Jana, Jumatatu tarehe 29 Juni, na leo Jumanne tarehe 30 Juni, Chuo kinaendesha uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi. Hata hivyo, ukifuatilia namna uchaguzi huo unavyoendeshwa, kuna maswali mengi...
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshaji wa utoaji wa barua za uhamisho kwa baadhi ya watumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo.
Inadaiwa kuwa baadhi ya barua za uhamisho zimekuwa...
Wamesema watumishi uhamisho ni kwenye mfumo wa ESS, Watu tumepata wa kubadilishana nao, uhamisho unasoma TAMISEMI muda sasa lakin hakuna vibali hadi tunaobadilishana nao wanataka ku-cancel maombi...
Katika Halmashauri ya Mpimbwe, kuna malalamiko kwamba kuhoji matumizi ya fedha za umma kunachukuliwa kama kosa badala ya njia ya kuimarisha uwajibikaji.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Hospitali ya...
Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya...
Wachezaji wa Pamba Jiji FC wametishia kususia mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union wa Juni 30, 2026, kutokana na kile walichodai kuwa ni kucheleweshewa malipo ya...
Asalamu Alaikum ndugu,
Naomba muongozo kutoka kwa wahusika, hasa Kikosi cha Jeshi la Polisi Kitengo cha Barabarani na viongozi wengine.
Hapa mjini (Kata ya Sahara, Wilaya ya Nyamagana jijini...
Wakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa...
Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu kampuni za mikopo ya mtandaoni.
Serikali ilitangaza hatua za kudhibiti na kuchukua hatua dhidi ya kampuni zilizokuwa zikikiuka sheria na haki za wakopaji...
Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo.
Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja...
Tunaomba mfanye uchunguzi wa kina kuhusu utendaji wa Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri (TMO) na Katibu wa Afya wa Halmashauri ya Mji wa Nzega (Nzega TC).
Kuna malalamiko yanayoibuliwa kuhusu...
Manispaa ya Ilemela Mwanza, Kata ya Ilemela kuna Mtendaji anakusanya michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za mwenge, wanapita katika ofisi na taasisi mbalimbali kuomba michango hiyo.
Sasa...
Viongozi walioteuliwa kuingoza TAHLSO wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya TAHLSO.
Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi...
Naomba kuwasilisha Jambo hili.
Serikali iliyopo madarakani ambayo inakwenda kumaliza muda wake, imefanya ubadhirifu mkubwa wa fedha za wanafunzi.
Naomba takukuru waweze kufika na kulifanyia kazi...
Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo.
Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.