DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa daktari mmoja wa kike katika hospitali yetu ambaye anadaiwa kutowahudumia wagonjwa kwa wakati na kutokuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa. Inadaiwa kuwa hata...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mdau wa elimu na ninaomba utambulisho wangu ubaki kuwa siri kwa sababu za usalama. Naomba mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kina kuhusu mwenendo wa Mkuu wa shule huyu kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
93 Views
Anonymous
DOKEZO 
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa...
2 Reactions
28 Replies
496 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kumekuwa na wimbi kubwa la vyuo vya mafunzo ya ufundi hasa vya private na baadhi vya taasisi za dini ambazo hazitendi haki kwa jamii. Mfano kutoa vyeti feki na huku bado wakiendelea kufanya hiyo...
2 Reactions
4 Replies
301 Views
  • Redirect
Anonymous
DOKEZO 
Katika Vijiji vya Kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula fedha za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous (c702)
DOKEZO 
Wana-JamiiForums, Naleta mada hii mbele yenu nikiwa na masikitiko makubwa na dhumuni langu ni kuomba ushauri, lakini pia kufikisha sauti yetu kwa mamlaka husika juu ya ukiukwaji mkubwa wa sheria...
2 Reactions
3 Replies
218 Views
Wasalaam wananzengo na majukumu ya hapa na pale. Kero yangu iko kwa ndugu zetu wa mifuko ya hifadhi hasa watu tulio private sector tunaohudumiwa na shirika la mifuko ya hifadhi ya taifa kwa maana...
4 Reactions
3 Replies
209 Views
Anonymous (fa6c)
DOKEZO 
Naomba kuwasilisha suala hili kwa wizara husika kwa ajili ya uchunguzi na, ikibainika kuna makosa, hatua stahiki zichukuliwe. Kumekuwa na taarifa za vitendo vinavyodaiwa kuwa ni utapeli...
1 Reactions
2 Replies
71 Views
Anonymous
RESOLVED DOKEZO 
Wananchi tumeshindwa kupaza sauti ikasikika, Morogoro Wilaya ya Morogoro Mjini, Kata ya Mji Mkuu, Mtaa wa Bomaroad kuna bomba la maji safi limepasuka, lina miezi takribani 6 sasa linavuja tu...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mkuu wa Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Halmashauri wanachokifanya si sahihi. Wameandaa meza kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wanaziuza kwa shilingi 200,000 kila moja. Inadaiwa kuwa meza...
2 Reactions
2 Replies
101 Views
Gerz
DOKEZO 
Mabadiliko yaliyofanyika kwenye mataa ya kuongoza magari katika Barabara ya Bibi Titi yameleta mkanganyiko mkubwa kwa madereva. Aidha, inaonekana askari wa usalama barabarani wamegeuza eneo hilo...
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mi ni mfanyabiashara wa nguo za mtumba, mabelo tunayofungua kipindi hiki ni tofauti sana na miaka ya nyuma hasa kabla ya bandari kubinafsishwa, changamoto ni kuwa kipindi cha nyuma mizigo ilikuwa...
16 Reactions
45 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari za kazi. Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) kuhusu ada kuelekea mitihani ya mwisho ya muhula wa pili wa masomo, inayotarajiwa kuanza...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet...
5 Reactions
8 Replies
229 Views
NACTE na HESLB, mbona hampokei simu wala kujibu barua pepe? Kama huduma hizo hazitumiki, ni bora mziondoe kuliko kuwaacha wananchi wakipoteza muda wakijaribu kuwasiliana nanyi bila mafanikio.
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali. Anaharibu ramani ya...
0 Reactions
3 Replies
178 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mmoja wa watu waliowahi kupigiwa simu na mtu anayejitambulisha kwa jina la Joseph Kichele, akidai anatokea Ofisi ya Ajira ya TAMISEMI jijini Dodoma. Kutokana na uzoefu wangu na taarifa...
1 Reactions
4 Replies
161 Views
BigTall
DOKEZO Responded 
Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo...
5 Reactions
18 Replies
545 Views
Salaam wadau na wapendamaendeleo. Wahusika wafuatao wawajibike au kushtakiwa kwa kuhujumu ujenzi wa barabara ya kutoka Bunju B kwenda Mabwepande kwa aina ya ujenzi huu. Hawa ni; mkandarasi...
4 Reactions
23 Replies
357 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya. Kwa wiki anaweza kuna mara...
0 Reactions
5 Replies
259 Views
Back
Top Bottom