DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali...
1 Reactions
5 Replies
106 Views
Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani...
3 Reactions
30 Replies
510 Views
  • Redirect
Shule ya msingi KIMANDAFU iko wilaya ya Arumeru Halmashauri ya wilaya ya Meru mkoa wa Arusha. Mwalimu tajwa hapo juu ni mwl mkuu msaidizi na mwl wa Hisabati darasa la 5, siku ya Alhamisi saa 2...
3 Reactions
Replies
Views
Anonymous
DOKEZO 
Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa...
0 Reactions
1 Replies
71 Views
Kwa kifupi: Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo. Full: Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
208 Views
Anonymous
DOKEZO 
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto mbalimbali zinazodaiwa kuwepo katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, hususan katika usimamizi wa ajira za kujitolea (volunteer), maslahi ya...
0 Reactions
2 Replies
168 Views
Anonymous
DOKEZO 
TUNAOMBA SERIKALI UFANYIKE UCHUNGUZI HURU KUPITIA TCU KWA WANAFUNZI WANAOSOMA UDAKTARI BINGWA MIFUPA (ORTHOPEDICS ) BUGANDO Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa udaktari Bingwa mifupa Bugando...
0 Reactions
3 Replies
379 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kwema! Mimi ni mwananchi na mkulima kutoka Wilaya ya Urambo, Mkoa wa Tabora. Tunaomba sauti yetu isikike kuhusu mgogoro mkubwa unaoendelea katika biashara ya tumbaku msimu huu. Hali ni mbaya...
3 Reactions
3 Replies
289 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu jengo la Stendi Mpya ya Mwenge. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara, huku ikidaiwa kuwa jengo zima linadaiwa bili ya...
1 Reactions
7 Replies
519 Views
Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya. Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na...
1 Reactions
2 Replies
114 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Mimi ni mkulima, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu kupanda kwa bei ya mbolea, hasa Urea na NPK. Kwa sasa hali imekuwa ngumu sana kwa wakulima kwa sababu hakuna bei inayofanana wala kufuatwa...
1 Reactions
3 Replies
273 Views
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala, Kampasi ya Gongolamboto, tunaomba mamlaka husika kuchunguza usimamizi wa fedha za Serikali ya Wanafunzi. Kila mwanafunzi huchangia TSh 20,000 kwa mwaka kwa...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Anonymous
DOKEZO 
Serikali imeweka mfumo wa taa za kuongozea magari (traffic lights) katika eneo la Mombasa, Ukonga, kwa lengo la kupunguza ajali na kuimarisha usalama barabarani. Hata hivyo, bado kuna changamoto...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mamlaka husika tunaomba ufanyike uchunguzi kuhusu mgodi unaomilikiwa na Wachina uliopo Mkoa wa Geita, Wilaya ya Katoro, Kijiji cha Matanda, kutokana na madai ya kutokufuata sheria na taratibu za...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Habari za wakati huu, Maranatha ya Kabwe Mbeya kwanin hamtupi wateja risiti???? Nimelipia dawa ya kupaka ya gram 50 nimepewa ya gram 20 nimeondoka bila kukagua nafika nyumbani naona tofauti...
0 Reactions
6 Replies
258 Views
Hakuna kazi ngumu kama kupata Control number ofisi ya RTO MWANZA, pengine kuliko huduma nyingine zitolewazo na ofisi nyingine za umma pale mkoani Mwanza. Je, hakuna suala la rushwa ndani yake...
1 Reactions
4 Replies
254 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kituo cha Afya Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kinalipisha huduma ya opereshen kwa wamama wajawazito Tsh 78,000 kwa kila anayejifungua kwa operesheni na hatulipi kwa Control Number...
0 Reactions
2 Replies
163 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mdau, kuna madai mazito yanayohusu Murgwanza Institute, chuo cha elimu ya kati kinachomilikiwa na Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Kagera, kilichopo Wilaya ya Ngara. Inadaiwa kuwa wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
BigTall
DOKEZO Responded 
Waziri wa Afya, Mchengerwa tunaomba fuatilia kwa ukaribu Hospitali ya Ngamiani - Tanga kuna uzembe flani wa wauguzi, tarehe 24/6/2026 kuna mgonjwa alikutwa amefia chooni bila ya wauguzi kujua...
0 Reactions
12 Replies
323 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa daktari mmoja wa kike katika hospitali yetu ambaye anadaiwa kutowahudumia wagonjwa kwa wakati na kutokuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa. Inadaiwa kuwa hata...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Back
Top Bottom