DOKEZO Threads

Nimeajiriwa Halimashauri ya wilaya Kiteto kuanzia mwezi wa kwanza lakini mpaka leo pesa za kujikimu kwa watumishi wapya upande wa ualimu hazijatolewa mazingira magumu naomba mtusaidie kupaza sauti...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Habari wanajamvi wenzangu. Kuna mgogoro wa kazi ulifunguliwa na ndugu yangu CMA kanda ya Dsm. Mwamuzi amefanya vitendo vya makusudi vya upendeleo kwa mwajiri pia anapoteza muda makusudi mwingi...
1 Reactions
3 Replies
117 Views
Anonymous
DOKEZO 
Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali...
8 Reactions
19 Replies
468 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi napenda kumfichua jamaa mmoja anaitwa ALLY OMARI ZABRON anafanya kazi wizara ya elimu, huyu jamaa anawatapeli watumishi wa umma kuwa anaweza kuwahamisha kutoka sehemu waliopo na hivyo kula...
6 Reactions
31 Replies
887 Views
Anonymous
DOKEZO 
Obwere bei ni 4,209 per litre ila Busurwa ni 4,750 wakat n ndan ya wilaya moja na amekuwa akifatiliwa anadanganya et ni kwa ajili ya wavuvi wake lakin n uongo hana wavuvi anawauzia wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
Anonymous
DOKEZO 
Askari Polisi wa Bahi wanasumbua jamani, hakuna usimamizi wa sheria unaoendelea bali ni rushwa na usumbufu mkubwa kwa madereva wanaotumia barabara hiyo, wao Askari wanakagua leseni vyeti na barua...
2 Reactions
3 Replies
75 Views
Anonymous
DOKEZO 
Changamoto ya watoto kutumikishwa shughuli mbalimbali hadi nyakati za usiku, siyo kwenye kuuza mayai tu, lakini pia hadi katika sekta ya dukani pia kuna watoto wadogo wanafanya kazi hadi saa 16...
0 Reactions
1 Replies
48 Views
informer 06
DOKEZO KERO 
Bodaboda tunapopeleka abiria SGR Asubuhi mara nyingi wanatukamata kisa tunashusha abiria nje ya eneo la jengo lao pale, wanatoa maelekezo kuwa wanataka tushushe ndani ya eneo la maegesho lililopo...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Nimekutana na changamoto na askari wa usalama barabarani (Traffic Police) jijini Dar es Salaam mara kadhaa. Kwanza, mara nyingi wanakuwa hawana mashine za kutoa risiti. Kila siku utasikia...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
Anonymous
RESOLVED DOKEZO 
Mimi ni mmoja wa vijana niliopata mafunzo kupitia VETA katika ngazi ya Level 2 na Level 3, kwenye fani kama Plumbing and Pipe Fittings, Electrical Installation (EEL) na fani nyingine. Tatizo kubwa...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne...
0 Reactions
4 Replies
199 Views
Kwa sasa, takribani miaka mitatu imepita tangu Serikali ilipotangaza kuleta mabehewa sita ya ghorofa ya SGR (June 2023), ambayo kwa pamoja yalielezwa kuwa na uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 250...
3 Reactions
16 Replies
471 Views
Anonymous
DOKEZO 
Wananchi wa Kata ya Mcharo, Wilaya ya Bunda, wanaomba mamlaka husika kuchunguza tuhuma za rushwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mcharo. Kwa mujibu wa madai yao, baadhi ya wananchi hukosa haki...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumeambatana na tuhuma za upendeleo na matumizi ya mgogoro wa kimataifa kujinufaisha kupitia biashara ya mafuta...
4 Reactions
7 Replies
154 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara. Kwa kipindi hiki cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu, tumeshuhudia baadhi ya watendaji wa vijiji wakitumia zoezi la usajili wa anwani za makazi...
1 Reactions
2 Replies
107 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari, Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Tarehe 16 nilifika Stendi ya Somanda, Bariadi, Simiyu, ambapo nilitakiwa kulipa shilingi 300 kama ada ya kuingia stendi. Baada ya kulipa...
1 Reactions
1 Replies
381 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni dereva bajaji, wiki iliyopita Kariakoo ilinifundisha somo chungu kuhusu uonevu ambao hauzungumzwi kwenye runinga au Media. Ilikuwa mchana wa jua la utosi wakati naingia Kariakoo, nikiwa...
1 Reactions
3 Replies
226 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kwa kipindi cha hivi karibuni, kuna jambo ambalo limeendelea kunishangaza. Katika nyakati tofauti, nimeshuhudia watoto walio chini ya umri wa miaka 15 wakifanyishwa kazi ya kuzungusha na kuuza...
4 Reactions
16 Replies
385 Views
Back
Top Bottom