DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Kuna madai ya matumizi mabaya ya madaraka katika Shule ya Sekondari Tarime yanayohitaji uchunguzi wa mamlaka husika. Inadaiwa kuwa Mkuu wa Shule alipendekeza mwalimu wa Fizikia ahamishiwe shule...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mdau mwenye mtoto anayesoma katika Kitengo cha Elimu Maalum katika Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, nimeamua kujitokeza na kuzungumza kwa uchungu mkubwa kwa sababu kinachoendelea shuleni...
0 Reactions
6 Replies
234 Views
Nimefuatilia kwa karibu miradi mingi ya serikali inayowapa makandarasi wazawa, haina fedha. Matokeo yake makandarasi wa kitanzania wameanza kukataa miradi ya serikali. Miradi hii inaambatana na...
12 Reactions
59 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji...
1 Reactions
2 Replies
103 Views
Anonymous
DOKEZO 
Wanafunzi na baadhi ya walimu katika upande wa afya wanatoa tuhuma dhidi ya viongozi watatu wa chuo ambao ni Liberatus Phillip (Mkuu wa Chuo upande wa Afya), Sylvester Mgeta (Mtathmini Ubora) na...
1 Reactions
8 Replies
161 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kwa zaidi ya mwaka mzima sasa gari ambayo inatakiwa kutumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kwa ajili ya shughuli za kiofisi badala yake imekuwa ikitumika...
5 Reactions
18 Replies
473 Views
Ni kwa mara nyingine naliomba Jeshi la Polisi ndani ya mji wa Bunda kukamata hiki kikosi kazi kinachojihusisha na uhalifu, uporaji na udhalilishaji wanawake. Hili ni janga na lisipodhibitiwa...
0 Reactions
2 Replies
94 Views
Anonymous
DOKEZO 
YAH:- MWALIMU CALVIN TWARILA WA KIBO AACHIWE HURU ANAONEWA!! NAWEKA USHAHIDI WA MAOVU YOTE YA NGONYANI!! Somo tajwa hapo juu lahusika. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa viongozi wote...
26 Reactions
122 Replies
11K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Mimi ni mtumishi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [JKCI], taasisi hii inatupa wakati mgumu watumishi wake kupitia bosi wetu, Lakini kabla ya kufika kwa bosi kubwa, kuna watu hapo chini yake...
4 Reactions
12 Replies
834 Views
Kuna tatizo kubwa la umeme wilaya ya chunya umeme ni mdogo sana. Hili tatizo limekaa muda sasa zaidi ya miezi miwili. Mahitaji ya umeme kwenye uendeshaji wa shughuli za kila siku za madini ni...
1 Reactions
4 Replies
362 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kijiji cha Kaparamsenga, Wilaya ya Uvinza, kimekuwa bila huduma ya umeme kwa miezi mitatu mfululizo baada ya transfoma kuungua mwezi Aprili 2026. Wananchi wameripoti changamoto hiyo mara kadhaa...
2 Reactions
5 Replies
277 Views
Dodoma Jiji kwa muda wa miaka 6 ya karibuni ni miongoni mwa Halmashauri zinazofanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, pia ni Makao Makuu ya Tanzania na inazidi kukuwa kwa kasi kubwa...
2 Reactions
8 Replies
104 Views
Anonymous
DOKEZO 
Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu...
1 Reactions
6 Replies
132 Views
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi. 👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni. 👉Mkakati wa...
8 Reactions
59 Replies
8K Views
Richer
RESOLVED DOKEZO 
Taa hizo za kuongezea magari na Watembea wa Miguu eneo la Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (Catholic University of Mbeya - CUoM) zina wiki sasa hazifanyi kazi licha ya kwamba bado ni mpya kwani...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Anonymous
DOKEZO 
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi. Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na...
1 Reactions
13 Replies
221 Views
Hivi ushawahi kununua ile router ya "Unlimited" ya nyumbani au ofisini ukajua sasa umeyapatia maisha? Ukajua utastream movie, utadownload mafaili makubwa, na mambo yatanyooka bila wasiwasi? Alafu...
25 Reactions
38 Replies
1K Views
Nimepita Arusha wilaya ya Meru sehem inaitwa Maji ya Chai pale dampo mtaa wa masaleni. Kuna miti na majumba chini na usawa wa service line ile kubwa ya umeme, niwaulize Tanesco hizi nguzo za umeme...
3 Reactions
22 Replies
451 Views
Anonymous
DOKEZO 
Leo tunaamua kuvunja ukimya. Sisi ni wakata tiketi (Cashiers) wa Mradi wa MwendoKasi (BRT Phase II – Mbagala) tunaofanya kazi kupitia Vodacom Tanzania katika mfumo wa ukusanyaji wa nauli. Kila...
1 Reactions
14 Replies
353 Views
Nimeajiriwa Halimashauri ya wilaya Kiteto kuanzia mwezi wa kwanza lakini mpaka leo pesa za kujikimu kwa watumishi wapya upande wa ualimu hazijatolewa mazingira magumu naomba mtusaidie kupaza sauti...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Back
Top Bottom