Idara mbalimbali zinapopeleka madokezo kwa ajili ya kusainiwa na kulipa, yanachukua muda mrefu bila kusainiwa na kulipa pia, mwisho wa siku unaambiwa madokezo yamepotea.
Tunaomba TAKUKURU Katavi...
RTO wa Mbeya, Njombe na Iringa tusaidieni kukamata bus la New Force lenye number T EBK 232.
Dereva na kondakta wake wamepiga na kujeruhi mtu hapa Uyole.
Mamlaka husika tusaidieni kwenye hilo.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu
Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje...
Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza...
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni ya uchimbaji visima, SUPREME WATER WELL DRILLING LIMITED iliyo na makao makuu yake jijini Mwanza, ni muda mrefu umepita tangu nianze kazi katika kampuni hii...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu.
Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya...
Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi.
Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu...
Ndugu zangu tunapata taarifa nyingi toka kila pande ya nchi yetu pendwa ya Tanzania,Leo nimepata taarifa kuwa huko Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za...
Ujumbe huu ufike Serikalini hasa kwa Wizara ya Afya, sasa hivi baadhi ya vituo vya maabara vinafanya kitu kimoja, ukienda kupima hata kama huna Typhod majibu yao ni una-typhod, unajikuta unatumia...
Nimehudumiwa mara mbili katika Kituo cha Afya Halmashauri ya Mji Tunduma maarufu kwa jina "Serikalini" Kata ya Majengo ambapo walilazimisha nitoe gharama za kumuona daktari licha ya kuwa mgonjwa...
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe...
Hii Kampuni ambayo inaonyesha kusajiliwa Tanzania, ina dalili zote za kitapeli kama makampuni mengi yahayojitangaza kufanya biashara ya Sarafu za kidigitali (BITCOIN).
www.titmining.com
Wameweka...
Wife juzi kanipigia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua.
Sasa leo ikabidi nimdodose yaani ni kina...
Katika siku za hivi karibuni, Kijiji cha Itumbi, kilichopo katika Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, kimekumbwa na matukio ya kuhuzunisha na ya kutisha.
Majambazi wenye silaha wamevamia kijiji...
Stendi ya Magufuli hakuna maji siku ya tatu leo, watu wanalazimika kwenda stendi ya daladala ya Mbezi Luis na kule kwenye maduka stendi ya Malamba kujisaidia kwenye vyoo vya vya watu binafsi...
Nchini kwa sasa asilimia zaidi ya 55% ni vijana , ambao wengi hawana ajira na kama ujuavyo nchi yetu ni miongoni mwa nchi ambayo ina asilimia kubwa ya watu wa kipato cha chini..
Sasa sisi vijana...
Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika,
Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni...
Wazazi wamestuka, Vijana wametuka, zama zimebadilika,
Kwa upepo ulivyo Advance inaenda kupoteza thamani yake, yaweza kugeuka kuwa kapu la taka kwa wanafunzi wanaokosa vyuo.
watu wamepima mzani...
Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa.
Nimefanikiwa kufika mara...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari wamekuwa wakiteseka kwa kuwa na Barabara mbovu, Barabara hiyo imeanza kufanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.