DOKEZO Threads

Uhaba wa walimu imekuwa ni janga la kitaifa kwa shule za msingi za maeneo ya vijijini, shule yenye wanafunzi karibia 600 ina walimu wanne, walimu wanahama bila mpangilio, lakini hawaletwi wapya...
3 Reactions
8 Replies
710 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Licha ya kutangazwa kwa ufadhili wa masomo ngazi ya Master's Degree kupitia Samia Suluhu Scholarship na wanufaika kuorodheshwa kwenye Website ya bodi ya mikopo inayofahamika kama HESLB. Lakini...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Hapa Mkoa wa Kigoma kumeibuka wimbi la mauaji na ukabaji katika Kata ya Nyumbigwa, Wilaya ya Kasulu yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya raia wa kigeni wakiwemo kutoka Burundi. Raia hawa huchukuliwa...
2 Reactions
5 Replies
954 Views
Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Kuna Hiki Chuo Cha Mandeleo Ya Jamii Jiji Mbeya Ambacho Kipo Eneo la Uyole Imekuwa Kikiendeshwa Kihuni huji Sana Bila Kujali Wanafunzi Wake.. Moja Kati ya Jambo Kubwa ni Chuo Kuchangisha...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Anonymous
DOKEZO 
Wakuu, hii imetokana na mambo kadha wa kadha ni kama mwezi mmoja umepita nilienda kwenye mgahawa mmoja local kuchukua chakula majira ya saa 3 usiku, wakati nimefika nikakuta vijana wawili ambao ni...
2 Reactions
7 Replies
487 Views
Habari Wana Jamvi, Mitaa mingi ya Jiji la Mbeya kwa sasa imekuwa ikikambiliwa na changamoto ya ongezeko la vibaka au matukio yanayohusisha vibaka. Kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuripoti...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu...
1 Reactions
1 Replies
351 Views
Anonymous
DOKEZO 
Licha ya tangazo la mwaka 2024 la kutangaza nafasi za Kazi ya Muda ya waandikishaji wasaidizi na BVR OPERATORS kuaininsha malipo ya Kazi kuwa ni tsh 50,000 Kwa siku na yatalipwa Kwa siku zote za...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Habari wana bodi, Hii ni shule ya serikali inayosimamia na TAMISEMI iliyopo Jiji la Arusha. Sisi wazazi na jamii nzima tunaelewa na tunapewa elimu mara kwa mara na mamlaka mbalimbali za serikali...
0 Reactions
9 Replies
831 Views
Majitha
DOKEZO KERO 
Sijui kama hili limewakumbuka na wengine au lakini hali ya Mahakama ya Mwanzo Bunda si shwari. Walalamikaji wanapokwenda kusikiliza kesi zao wanachangishwa pesa ya kununua mafaili @ 1500 na bila...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Ofisi za postgraduate SUA ni changamoto kubwa sana kwa wanachuo yaani kama sio mazingira ya rushwa basi kuna changamoto kubwa kwenye usimamizi wao. Nadhani wanachangia kwa sehemu kubwa wanafunzi...
1 Reactions
1 Replies
280 Views
KwetuKwanza
DOKEZO Responded 
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu...
1 Reactions
5 Replies
730 Views
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi. Sina shaka na utendaji...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Salaam kwako Ndg Mussa Kilakala, DC na M/Kiti kamati ya ulinzi Wilaya ya Morogoro (Mjini naVijijini). Kuna mgogoro mkubwa wa Ardhi unaendelea ndani ya manispaa yako Mtaa wa Ngerengere B, kata ya...
0 Reactions
3 Replies
414 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari za wakati ndugu zangu! Mimi ni Mkazi wa Dar es Salaam na nianze kwa kuipongeza sana Serikali kwa kuendelea na ujenzi wa miundombinu kurahisisha usafiri japo sio kwa maeneo mengi. Leo...
1 Reactions
3 Replies
465 Views
DogoWaNjombe
DOKEZO Responded 
Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa. Safari yangu ni...
24 Reactions
154 Replies
8K Views
KwetuKwanza
DOKEZO Responded 
Kupitia jukwaa hili, mimi mwananchi wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu. Kwa niaba ya Wananchi wa kata hii, naomba kuleta malalamiko yetu kwa viongozi hasa Mheshimiwa Rais na Waziri...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Sisi Wakulima wa Korosho tuliopo Mkunya Wilayani Newala Mkoani Mtwara tulipimishwa korosho tangu Oktoba na wengine Novemba 2024, hapo nikiwa namaanisha wale maafisa wa Serikali walikamilisha...
1 Reactions
8 Replies
828 Views
Back
Top Bottom