DOKEZO Threads

Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa mnaotumia barabara hii asubuhi, tumeona msongamano mkubwa wa magari kila siku. Magari mengi yamehama toka kutumia barabara ya Bagamoyo na sasa watu wengi waendao makazini mjini CBD wanaitumia...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Habari ya mchana Nimeamua niwaandikie wenzangu kwa kifupi kuhusu madhara rafiki zangu waliyoyapata baada ya kununua mboga za majani pale stendi ya daladala Mbezi Luis. Siku chache zilizopita...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Torra Siabba
DOKEZO Responded 
Kuna hii ishu inayowahusu ripota wa Azam TV mikoani, wapo walioanza na kampuni wapo waliojiunga na Azam baadaye. Kwa mujibu wa mikataba yao ambayo ni renewable Kila baada ya Mwaka Mmoja au miaka...
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Sasa hivi tunaona kuna ujenzi Bagamoyo Road, kipande cha Mwenge-Tegeta. Kama mwananchi nilikaa kipande hii muda mrefu napenda kuwatonya TANROADS kuwa MAKOSA YALE YALE ya kitaalam yanafanyika...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Junior Lecturer
DOKEZO Responded 
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Hela yangu itarudi aisee huu ni utapeli kabisa ila hapa mmebugi jiandaeni kurudisha hela kiruuuu.
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Mwaka jana miezi kama hii walitutembelea maofisa wa bank ya CRDB tawi la Livingston na kutushauri kutuongezea mtaji kwa kutupa mikopo, sisi wafanyabiashara wa hali ya chini tulichangamkia fursa...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Habari za wakati ndugu wana Jukwaa, Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hii changamoto kwa wajawazito ambayo wanakumbana nayo wakati wa kujifungua katika vituo vya Afya na Hospitali ya Halmashauri...
2 Reactions
3 Replies
854 Views
Kama mada inavyonieleza Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano. Kuna malalamiko yameripotiwa kwa siku za karibuni kuhusu hospitali ya LUPA iliyopo ndani ya halmashauri ya mji wa Bunda. Malalamiko ni mengi ila...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Anonymous
DOKEZO 
Rasmi dirisha la usajili wa vikundi pamoja na maombi ya mkopo ya halmashauri ile ya 10% (vijana, wanawake na walemavu) vilifunguliwa mwezi wa 10, 2024. Awali iliionekana kuwa tutahudumiwa vizuri...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Pale nyuma ya ofisi za Halmashauri ya Ubungo kuna Eneo la wazi la Sqm 10,400 zimepigwa na Afisa Ardhi wa Manispaa anaitwa Fadhili akishirikiana na Kamishna wa Ardhi mkoa wa Dar Ndugu Kyando. Pia...
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi kama mdau wa maendeleo kwa ujumla, naleta kwenu kero ya muda mrefu. Yapata miaka 20 sasa. Tangu shule ya msingi Nyamuti iliyoko walaya ya Buhigwe kata ya Buhigwe kijiji cha Mlela mtaa wa...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Tuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikuwa ni wanawake Ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaidi yangu Cha kushangaza wote majina yao...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
KItuo cha polisi Chanika, kimekuwa kikipelekewa malalamiko kila kukicha na viongozi wa Mtaa wa Mvuleni Msongola, Maeneo ya Kitonga Wananchi wanashindwa kuendelea na shughuli zao. Wanavamiwa na...
1 Reactions
2 Replies
413 Views
Barabara ya Nyerere road, reli ya kuelekea Buguruni, kituo cha Treni llala kuelekea Gongolamboto, kuna vikundi mbalimbali vya wezi hasa wa miundombinu ya Shirika la umeme Tanzania TANESCO na...
3 Reactions
14 Replies
708 Views
Back
Top Bottom