DOKEZO Threads

Rabbon
DOKEZO Responded 
Hellow Tanganyika! Uharibifu wa mazingira ni mkubwa Kanda ya Ziwa, Nia ni njema kuruhusu wachimbaji WADOGO, ila usimamizi wa karibu ni muhimu. Serikali chini ya wizara ya madini itengeneze...
0 Reactions
3 Replies
501 Views
Sio ajabu kuona watu kama kina Samantha Power, Michele Sumilas, Clinton D. White pamoja na Kimberly Ball wakiumia na kugugumia maumivu juu ya ushindi wa Donald Trump. Kwa Wamarekani ni wazi kuwa...
10 Reactions
115 Replies
6K Views
Anonymous
DOKEZO 
Hapa Kibaya wilayani Kiteto kuna trafiki anakamata sana pikipiki na hataki kutoa Control No, akidai kashalipia wewe mpe hela taslimu(Cash money) tu. Haya si mazingira ya rushwa kabisa na akijidai...
1 Reactions
3 Replies
307 Views
Habari JamiiForums. Naomba msaada, mimi ni mgeni katika kijiji fulani, wilayani Magu Mkoa wa Mwanza. Katika kijiji hiki kuna utaratibu kwa wageni wanaoingia kuishi kama wapangaji kulipa fedha za...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Shift
DOKEZO Responded 
Mimi sio mwandishi mzuri ila kwa kweli inasikitisha sana nimepita mara kadhaa daraja hili lililopo mkoani Lindi barabara kuu ya Dar-Lindi, linamaliza ndugu zetu wa malori. Ukitokea Lindi ni km...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari JamiiForums, nimekuwa mdau wa muda mrefu lakini pia nimekuwa napata malalamiko mengi sana kutoka kwa rafiki yangu mmoja hivi naomba langu lisitajwe. Watumishi wa shule ya St Marys...
2 Reactions
13 Replies
852 Views
Adharusi
DOKEZO Responded 
Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wanao jiita viongozi wanawagana Tsh Milion 400 za walimu ambazo wametoa ada kwa chama iko. Chama icho kimeweka ada ya Tsh...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Tafadhali ndugu zangu angalizo wiki hii kuna pesa nyingi za Bandia nimekutana nazo nahisi kama kuna watu wameanza kuingiza pesa Bandia ktk mzunguko.
16 Reactions
68 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mwalimu niko Tabora, kwa sasa nafundisha Shule ya IPULI HOLY FAMILY PRE AND PRIMARY MISSION SCHOOL, baada ya ajira za Ualimu kutangazwa za Serikalini niliomba, nikapata nafasi ya kwenda...
1 Reactions
6 Replies
792 Views
Hili ni Soko la Sabasaba Jijini Dodoma mvua zinaponyesha mara nyingi kumekuwa na hali ya matope kwa baadhi ya maeneo na hivyo kuwa kero lakini pia usalama wa vyakula unakuwa hatarini. Nimepita...
0 Reactions
8 Replies
645 Views
gubegubekubwa
DOKEZO Responded 
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kayugumis
DOKEZO Responded 
Huku kwetu Tunduma karibu maeneo yote kuna changamoto ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo na wengine kipindupindu lakini hatusikii mamlaka zikiweka wazi kuhusu suala hilo hadharani. Kumekuwa na...
1 Reactions
0 Replies
375 Views
Anonymous
DOKEZO 
Idara mbalimbali zinapopeleka madokezo kwa ajili ya kusainiwa na kulipa, yanachukua muda mrefu bila kusainiwa na kulipa pia, mwisho wa siku unaambiwa madokezo yamepotea. Tunaomba TAKUKURU Katavi...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
RTO wa Mbeya, Njombe na Iringa tusaidieni kukamata bus la New Force lenye number T EBK 232. Dereva na kondakta wake wamepiga na kujeruhi mtu hapa Uyole. Mamlaka husika tusaidieni kwenye hilo.
0 Reactions
11 Replies
858 Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje...
14 Reactions
61 Replies
3K Views
Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza...
0 Reactions
5 Replies
766 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni ya uchimbaji visima, SUPREME WATER WELL DRILLING LIMITED iliyo na makao makuu yake jijini Mwanza, ni muda mrefu umepita tangu nianze kazi katika kampuni hii...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu. Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi. Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu zangu tunapata taarifa nyingi toka kila pande ya nchi yetu pendwa ya Tanzania,Leo nimepata taarifa kuwa huko Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za...
0 Reactions
9 Replies
761 Views
Back
Top Bottom