DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa...
1 Reactions
4 Replies
200 Views
Anonymous (6235)
DOKEZO 
Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini. Shida iliyopo...
2 Reactions
6 Replies
164 Views
Anonymous
DOKEZO 
Lilian Akijar (Badi) ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo Kikuu cha Iringa (University of Iringa) kwa sasa lakini Uteuzi wake umeendelea kuzua mijadala ya kimyakimya miongoni mwa viongozi...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Anonymous (e1e0)
DOKEZO 
Mashirika hasa ya dini kama KKKT na RC pamoja na wawekezaji binafsi watusikie Wazazi wa Dodoma. Dodoma kuna uhitaji mkubwa sana wa Shule bora za Sekondari za kutwa, kwa sababu Mwakani 2027 Watoto...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka. Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa...
3 Reactions
26 Replies
9K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Unapeleka transfer pale Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi umenunua ardhi tuseme ili wakupe form Namba 33 ya transfer apart kuwa umelipia malipo ya Serikali under control number...
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Anonymous (273e)
DOKEZO 
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume. Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kero yangu ipo kwa DTO wa Kituo cha Polisi, MBIGILI Mkoa wa IRINGA, amekuwa akikamata Bajaj ovyoovyo na kuwashikilia madereva kwa kuwaweka ndani ya Bajaj zao pamoja na kuweka mikakati migumu ya...
0 Reactions
5 Replies
126 Views
Anonymous (c04c)
DOKEZO KERO Responded 
Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Habari zenu wakuu. Mnamo mwaka juzi (2024) nilibahatika kupita barabara inayotoka kimara mwisho kuelekea bonyokwa mpaka kinyerezi nilikuta ujenzi wa barabara ukiwa upo kwenye hatua za awali...
2 Reactions
15 Replies
386 Views
Anonymous
DOKEZO 
Sehemu ya kula wasafiri pale Morogoro Msamvu njia ya kwenda Iringa ni chafu, vyakula vinavyouzwa vimelala siku mbili, chips ni nyeusiii sijui ni mafuta au ndio tunauziwa vyakula vya kulala! Na...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna mwizi ambaye amekuwa akivamia nyumba za watu usiku katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma, Dar es Salaam, Goba, na maeneo mengine ambayo bado yanaendelea kuripoti matukio kama haya...
1 Reactions
5 Replies
193 Views
Taarifa zinazozunguka ndani ya Jiji la Mwanza na wadau wa soka mkoani Mwanza zinaibua maswali mazito kuhusu mwenendo wa uendeshaji wa timu ya Pamba Jiji FC, hususan katika eneo la matumizi ya...
1 Reactions
3 Replies
364 Views
Fbn
DOKEZO 
Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu...
6 Reactions
18 Replies
649 Views
Mkuu, Kama ulikuwa unabet basi umelenga palepale. Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa Pia soma...
131 Reactions
271 Replies
32K Views
Ni muda sasa nimekuwa nahudhuria kusikiliza kesi za ndugu/marafiki katika mahakama hii ya mwanzo Arusha maarufu kama Mahakama ya Maromboso, hasa kesi zinazo sikilizwa na mfawidhi wa hii mahakama...
1 Reactions
5 Replies
283 Views
Anonymous
DOKEZO 
Wakuu habari, Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu... Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia...
2 Reactions
7 Replies
418 Views
Back
Top Bottom