CHADEMA 'mnazingua'

CHADEMA 'mnazingua'

Umesema viongozi wangu? Sina kiongozi,najiongoza mwenyewe!
Hata wakienda mahakamani itakuwa kazi bure.......tangu lini kesi ya nyani ikashindwa kwenye mahakama ngedere?

Na leo naiskia CJ kawainukia Mahakimu sasa sijui kawabanaje hapo ndiyo sielewi usikute kawaambia kesi zote za serikali lazima serikali ishinde.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Na leo naiskia CJ kawainukia Mahakimu sasa sijui kawabanaje hapo ndiyo sielewi usikute kawaambia kesi zote za serikali lazima serikali ishinde.
Inawezekana kabisa. Bado nalilia katiba mpya
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Hujui kwa sasa karibu mkuu wa CHADEMA hatakiwi kufanya hata mkutano wa hadhara?.Kwa sasa watu wanapigwa risasi unasema wapige kimyakimya!.
 
Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kungelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
Mkuu na wewe unazingua...

Forum ya kusemea "dikteta uchwara" mnaipata wapi?

Anachokisema learned brother ni kwamba, hakuna hoja maalumu ambazo zipo kwenye fingertips za wananchi wanaoiunga mkono chadema.

Sababu ya kukosa forum mimi naipinga, mapinduzi ya Misri yalisababishwa na watu wa mtandaoni, otherwise muwe mnataka majukwaa kuwapiga fix wananchi.
 
2015 ndo ilikuwa anguko rasmi la chadema, na mageuzi makubwa ya CCM. wakabadilishana kwa chama tawala kuanza kusimamia agenda ambazo zilikuwa zikiimbwa na vyama vya upinzani, na vyama vya upinzani vikazikana agenda zilzofikisha hapo vilipo. Watu huwa wanakataa lakini ukweli uliowazi demokrasia inayoliliwa na vyama hivi inapaswa kuanzia katika vyama vyao kwanza, laiti kama ubabe na mabavu yasingetumika ninaamini leo hii CUF ingekuwa imara, Chadema ingekuwa imara
Mkuu
Chadema iliondoka na Dr Slaa
Sasa hivi kuna copy tu
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Acheni unafiki hao chadema mnataka wafanye miujiza gani? bungeni wanafukuzwa, no mikutano,hatakufanya ibadada, wanazuiwa,labda kilicho baki sasa ni kuliamsha dude.
 
Inawezekana kabisa. Bado nalilia katiba mpya

Nilipoona kashikwa mkono basi nilipata tafsiri MAHAKAMA kwisha kazi yake kabisa.Na jamaa yetu huyu aka CJ hata kutoa pole ya kinafiki kwa wanafamilia wa TLS yaani mawakili wenzake kamute maana akisema tu ulaji kwishney.Hapa nitamuoma Petro E Mselewa atusaidie,maana kwangu inaleta ukakasi
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
yaan CHADEMA ni Kama gari bovu
 
Wewe naona umeanza kuzeeka vibaya tena sana wewe huoni mpaka Rais wenu wa TLS ameshambuliwa na risasi baada ya kuongelea ufisadi wa madini halafu IMMA imepigwa bomu halafu bado hujaelewa huu utawala uliopo ni wa namna gani? acha kazi ya uwakili nenda kalime matikiti
 
Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kungelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
Eeh eeeh! Taratibu na matumizi ya lugha mkuu!
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Badala ya kuandaa submission za mahakamani unakuja na vithread vinavyo fanana na jingalao
 
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.

Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.

Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.

Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Ni Kweli wanazingua
 
..another idiotic talk by a fake lawyer...hawa chadema wana hoja nzito ...Na Kati ya hizo hoja ndio zimelekea hon. Lissu, ambaye pia ni boss wako huko TLS kama we kweli ni member, kupigwa risasi ili kuuliwa.

....Kama we huoni kuwa chadema wanakosa jukwaa la kutolea hoja zao basi una shida kwenye akili yako mbovu...,Na wala hufai kujiita lawyer...hizi kiki unazotafta kila kukicha kwa watawala hutozipata kwa unafiki wako....yani chadema watoeje hoja zao wakati kila kukicha wanahaha huko kwenye mahakama na makesi yasiyoisha!!!ama hili nalo hulioni??...ama huoni kinachoendelea bungeni dhidi ya wapinzani???...wataftie jukwaa chadema huone kama hawana hoja....idiot...
 
Back
Top Bottom