Unyama: Dada abakwa na wanaume zaidi ya wawili ndani ya lodge huko Morogoro

Unyama: Dada abakwa na wanaume zaidi ya wawili ndani ya lodge huko Morogoro

Kibongo bongo utashangaa kesi hiyo inafanyiwa uchunguzi, alafu inapotelea hewani.
 
Hizi video ukiziangalia unaweza kutoa machozi.

Huyu dada amedhalilishwa sana, ni zaidi ya ubakaji.
Adhabu iwe kali sana ili iwe fundisho kwa jamii nzima.
 
Barbaric act, ila wanawake wenye tamaa mnachakujifunza
 
Pole yake ila tusi judge bila kujua chanzo maan hyo video inaonesha kuna kiyu walikusudia kufanya. Tusiangalie tu upande mmoja.

Haihitaji kujua huyo dada alifanya nini, kitendo alichofanyiwa ni cha kinyama sana hawa wanafaa wanyongwe kabisa.
Haya mambo ya eti tusi judge kwa kitendo alichofanyiwa hata awe amekula ela ya mhusika hakustahili fanyiwa vile
 
Uo
Pole yake ila tusi judge bila kujua chanzo maan hyo video inaonesha kuna kiyu walikusudia kufanya. Tusiangalie tu upande mmoja.[/QUOT
Upande wa pili? Unamaanisha nini? hebu tukemee hizi tabia badala ya kukimbilia upande wa pili ambao hayta huujiu.Amefanya nini labda afanyiowe unyama huo? Hivi kuna watanzania wenye akilikama za kwako? So sad! Hata uliyeweka hiyo video ni haki kweli?
 
nampa pole sana. mimi pia nawaheshimu sana wanawake kama navyompenda mama yangu ila kwa roho yao mbaya wanavyotutesa na kutunyanyasa acha wabakwe tuu maana malipo ni hapa hapa duniani tuu sijui kwa nini wana roho mbaya ivi. yani furaha yao waone wewe wateseka na kulia basi acha na mimi nifurahie hili jambo. shame on ypu all bad girls
 
Video za nini?

Hao nguruwe washadakwa tayari ....kwanza wanapaswa wanyongwe tu...
Afrika unaijua au huwa unaisikia???.....Hapa Afrika hao wanahonga kwa laki moja tu na kurudi mtaani tayari kuendelea kuwatesa watu wengine!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom