Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana.
Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio...
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana
Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
Hawa ni watu ambao uchekeshaji sio kazi yao rasmi ila kila wanapoongea mbele za watu au kwenye mahojiano hawaachi kuwavunja watu mbavu.
1. Mheshimiwa Makongoro Nyerere
2. T.I.D
3. RC Chalamila
4...
https://youtu.be/Cvpm7ckpd_M?si=XZrDOzXkE3ZHrsBO
Habari wadau kabla hujaanza kusoma vaa earphone hapo bonyeza huwa wimbo kenny g nimeu pin ili ukusadie kuzama kwenye kisa soma soma kisa...
Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido.
Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na...
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.
Kama ilivyo picha huwa na lugha...
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume
1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume...
Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo.
Nchi tunazosafurisha Magari.
1. Kenya
2. Uganda
3. Rwanda
4. Burundi
5...
Wakuu kuna fundi, Amefanya Wiring kwenye nyumba ila kuna kitu naona kama ni kigeni naombeni msaada kujua kama ni sawa au Kuna shida.
Kwa kawaida switch Huwa na matundu Matatu tundu moja juu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.