ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 20,026
- 46,175
Huyu samaki nyoka nimeletewa na alikuwa mzima Tena anauzwa 1000 tu tunamuandaa kumtengeneza supu we ungeweza kumla huyu
Astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillahKama watu wanapitisha ulimi kwenye Tundu la kunyea sembuse kula Mnyama mwenye Madini ya Nitric Oxide.
Kama watu wanapitisha ulimi kwenye Tundu la kunyea sembuse kula Mnyama mwenye Madini ya Nitric Oxide.
Kumbe samaki wapo wa aina nyingi sana
Yani unawala wanaozalisha wake, mama na mabinti wetu?Huyu samaki nyoka nimeletewa na alikuwa mzima Tena anauzwa 1000 tu tunamuandaa kumtengeneza supu we ungeweza kumla huyu
Ukiona kijambo... Unafungua uzi haraka
tena fastaaa.Ukiona kijambo... Unafungua uzi haraka
Mi mwenywe mkuu mleta uzi bhana mtu wa tangaNlivosoma neno mkunga nliingia kwa speed kinoma
Changu huyo mbona.Huyu samaki nyoka nimeletewa na alikuwa mzima Tena anauzwa 1000 tu tunamuandaa kumtengeneza supu we ungeweza kumla huyu
Niliposoma mkunga nikajua umejifungua mtoto, maana mwezi wa nne nilikuona una kitumbo kumbe kilikuwa kitambi!Huyu samaki nyoka nimeletewa na alikuwa mzima Tena anauzwa 1000 tu tunamuandaa kumtengeneza supu we ungeweza kumla huyu