Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu samaki nyoka nimeletewa na alikuwa mzima Tena anauzwa 1000 tu tunamuandaa kumtengeneza supu we ungeweza kumla huyu
0 Reactions
13 Replies
267 Views
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo. Kama ilivyo picha huwa na lugha...
3 Reactions
20 Replies
193 Views
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume 1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume...
2 Reactions
10 Replies
209 Views
Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo. Nchi tunazosafurisha Magari. 1. Kenya 2. Uganda 3. Rwanda 4. Burundi 5...
24 Reactions
198 Replies
11K Views
Wakuu kuna fundi, Amefanya Wiring kwenye nyumba ila kuna kitu naona kama ni kigeni naombeni msaada kujua kama ni sawa au Kuna shida. Kwa kawaida switch Huwa na matundu Matatu tundu moja juu na...
1 Reactions
7 Replies
91 Views
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
10 Reactions
48 Replies
677 Views
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea...
15 Reactions
99 Replies
5K Views
Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
9 Reactions
31 Replies
791 Views
Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa .. Na kuitosa marekani
0 Reactions
7 Replies
106 Views
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
20 Reactions
198 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,022
Posts
49,704,187
Back
Top Bottom