Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za marehemu analiwa kichwa kwa alihokifanya Longido

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
2,085
5,288
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
 
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Anarudi bench this time
 
IMG-20240521-WA0135.jpg
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Paul Makonda mwisho wako umefika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom