Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Hadi leo kunavipindi vya kutafuta mwanamke au mwanaume wa kuishi naye yani mke au mume na namba zinatolewa. Tupo siriazi kweli au tunachochea umalaya na watoto wa mtaani bila kujielewa? Mi naona...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Aliyekuaa kocha wa Miamba ya Hispania, Xavi Hernàndez leo asubuhi ameachishwa kazi na rais wa Miamba hiyo Joan la Porta imeripotiwa Xavi na mchezaji muhimu wa zamani wa barcelona hatokua tena pale...
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua.
Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA
Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools...
Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.