Juzi nilikuwa nasikiliza redio safari fm lakini sikupendezeshwa na vipindi vinavyotangaza namba za simu za watafuta wenza

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
381
471
Hadi leo kunavipindi vya kutafuta mwanamke au mwanaume wa kuishi naye yani mke au mume na namba zinatolewa. Tupo siriazi kweli au tunachochea umalaya na watoto wa mtaani bila kujielewa? Mi naona heri vipindi vya aina hii viondolewe aliyekuwa siriaz kuoa na kuolewa hawezi kujirahisisha redioni.
 
Hadi leo kunavipindi vya kutafuta mwanamke au mwanaume wa kuishi naye yani mke au mume na namba zinatolewa.Tupo siriazi kweli au tunachochea umalaya na watoto wa mtaani bila kujielewa?Mi naona heri vipindi vya aina hii viondolewe aliyekuwa siriaz kuoa na kuolewa hawezi kujirahisisha redioni.
Sisi huko ndio tumepata wake zetu tunaoishi nao leo
 
Hapa naona....
Pipe anapigwa mwingine, kiuno unakata wewe mkuu....😜
 
Back
Top Bottom