Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Mama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,468
222,735
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa

Screenshot_2024-05-24-12-10-34-1.png
 
Ili tuweze kuchangia hoja yako Kwa uelewa, ilifaa ungeambatisha na chanzo cha taarifa yako mtoa mada.

Japo Kwa hali ya maisha ilivyo, kuongeza Kodi bandarini kutafanya gharama za maisha kuwa juu zaidi

Jana bei tu ya ๐Ÿ’ฒ1 ilikuwa ni sawa na shilingi 2,605 ya Tanzania.

Hali ikiendelea hivi, maisha yatazidi kuwa ghali ๐Ÿ™Œ
 
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa

View attachment 2998153
Wewe housegirl wa Mbowe acha upotoshaji. Kilichopanda sio utaoaji wa mizigo bali ni gharama za usafirishaji mizigo hadi bandari ya Dsm. DP world hawahusiki na kupanda kwa gharama za shipping. Hilo ni tatizo la dunia nzima ambalo limetokea wiki hii. Pia lilionekana kutokea. Sababu kubwa inayotajwa kupandisha bei za shipping ni uharamia baharini. Nimekuwekea link hapo ukasome.
Screenshot_20240524-141112_Chrome.jpg
 
Wewe housegirl wa Mbowe acha upotoshaji. DP world hawahusiki na kupanda kwa gharama za shipping. Hilo ni tatizo la dunia nzima ambalo limetokea wiki hii. Pia lilionekana kutokea. Sababu kubwa inayotajwa kupandisha bei za shipping ni uharamia baharini. Nimekuwekea link hapo ukasome.
View attachment 2998169
Kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama vya duniani kote kazi yake ni ipi hadi maharamia waathiri maisha ya dunia nzima?.

ccm
 
Back
Top Bottom