nimekumbuka mbali, nlivokuwa mafunzon kwa vitendo, nikakutana na washkaj 2,
mnapoanza field hamfahamiani ila baada ya kama wiki hivi tukaanza kuzoeana,, hadi mambo ya chai tukawa pamoja na stori za mbili3 za kimaisha tufanyi nini ili tutoboe mapema na kama unavojua ajiri ni mtiti, yule mmoja...