Naam umeongea vema kabisa..natamani mno hoja hizo zifanikiwe ....lakini....kuna changamoto kufika hapo kwa nchi yenye makabila lukuku yenye mawazo ni lini na sisi tutapata rais ili maendeleo yaje kwetu pia...tafisiri nyingi za upinzani kiitikadi hazilengi maendeleo ya nchi ila jamii zetu.
Tazama...
Sikubaliani na hoja yako ndugu.. Kiu ya dunia ni Energy..mafuta,Uranium na gesi Na mafuta,gesi,Uranium zauzwa kwa dollar.Kutoka tafiti za Casey mpaka 2014 mzalishaji na hazina kubwa ya mafuta,Uranium na gesi ni;
OIL
1.Russia
10 mil barrels/day(sweet,light oil)
2.Saudia
9 mil...
Daah umenikumbusha mbali kuna mwarabu wa Ujiji alikuwa na video shoo pale Kasulu miaka ya 86~88..akikukamata unachungulia basi .....sigara inavutwa mpaka inaiva barabara kisha anaizimia kwenye shavu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.