The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Hivi karibuni kumekua na tabia au kizazi cha kishabiki zaidi kuliko hoja. Watu wasioipenda Marekani kutokana na ubabe wake au vinginevyo nikiwemo mimi tulitamani kuona utawala wa dola ya washington ikianguka, tungefurahi zaidi kama ingeangukia China ambayo ndio inaonyesha angalau dalili za kuchukua hatamu, tena tungependa itokee mapema, aisee kumbe uhalisia uko vingine.
Sasa USA kutuonyesha sisi mashabiki uchwara wa China kua yeye bado boss ameanza kuishikisha adabu china kiuchumi, alianza kuliwekea vikwazo jeshi la China kwa kununua mitambo ya kijeshi toka Urusi, sasa ameamua kuipiga China kwa ujumla wake.
Toka nimezaliwa sijawahi kusimia kuna taifa limeiwekea vikwazo vya aina yoyote Marekani, ila yeye ana uwezo wa kuiwekea nchi yoyote hapa Duniani vikwazo, tena vikwazo vikali.
Wachina walizoea biashara ya kiujanja ujanja, tarrif man Trump ameamua kuwaonyesha kua biashara ya ujanja ujanja haina maana tena. Marekani ndie alikua anaiomba china isifanye protectionism, ifungue mipaka, China wakawa wanatumia udhaifu wa WTO kufanya biashara ya kijanja kijanja, Trump kwanza akaanza kujitoa WTO pili ameamua kuwabana wachina, wao sasa ndio wanaomba USA afungue mipaka.
Huo ni mbingo wa China moja kwa moja, bado hajaja kuwashinikiza washirika wake kuisusia China, kwa sasa taibana umoja wa Ulaya, baada ya hapo aje kwetu watumiaji wa tecno azuie misaada ya madawa na condom uone itakuaje.
Kwa sasa option pekee aliyonayo China ni kukubaliana na matakwa ya USA, vinginevyo amekwisha. Na kwenye mazungumzo ya kibiashara Marekani ndie anadictate terms China afuate, hataki aache.
Wale wenzangu tunaoiombea mabaya marekani tuendelee kuomba ila tutakufa bila kelele kama wafuasi wa kibwetere na USA bado ipo sana.