Miaka ya 80 TV zilikuwa bei gani?

Miaka ya 80 TV zilikuwa bei gani?

By that time kumiliki Tv ilikuwa hatar very very expensive, zilikuwa kama ilivyokuwa kwa simu .
Maana tv za laki 3 au 5 kipindi ile ndio sasa 50k au 30k, zile philips toshiba ,sony chogo ila zilikuwa za ukweli.
Na simu ilikuwa inakunyonya kama 5000 kwa siku wether umetumia au hujatumia inakukata tu.celtel na buzz ndio wako hewan masimu meng ni siemens and sony erickson kabla nokia hajakuja kutuokoa
Na hizo simcard zilikuwa kubwa kama card za benk
Umeiita Buzz mwanzoni iliitwa Mobitel. Na hata simu tuliziita Mobitel [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787].
 
Nakumbuka nlishawahi kupigwa kibao kimoja kitakatifu na MTU ambaye simfaham hadi leo kisa nilisimama mbele ya projector wakati wanaangalia muvi,sintakaa nisahau early 90s!
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuu unataka nipewe notice ya kuhama nilipopanga?
 
Daah umenikumbusha mbali kuna mwarabu wa Ujiji alikuwa na video shoo pale Kasulu miaka ya 86~88..akikukamata unachungulia basi .....sigara inavutwa mpaka inaiva barabara kisha anaizimia kwenye shavu..
 
Nakumbuka nlishawahi kupigwa kibao kimoja kitakatifu na MTU ambaye simfaham hadi leo kisa nilisimama mbele ya projector wakati wanaangalia muvi,sintakaa nisahau early 90s!
Pole mkuu
 
Ebana ee $800 miaka hiyo mkuu ulikua /wewe ni tajiri sana ..au umekosea digits.
Sio utajiri mkuu nilikuwa nafanyakazi uarabuni na tv zilikuwa ni jambo la kawaida sana
Mkuu hata simu za mkononi zilipotoka nakumbuka na nilibahatika kuwa na moja niliuziwa na mshkaji wangu mmoja
 
Hongera mkuu kilichonishangaza $800 kwa wakati huo nahisi $1=500-1000 ko ni kama pesa taslimu 800,000/- au 400000/-

Kipindi hiko mshahara wa mwalimu tsh haukuzidi hata 50,000/-

Kama ulikua abroad ni sawa ila kama kibongo huku mzee ningeshtuka sana.

Nakumbuka mwaka 1995 mshua alinunua tv Phillips inch 21 sh laki nne...nakumbuka maza alimind Sana kwamba si Bora angenunua kiwanja
(tulikuwa tunakaa kwenye nyumba ya kupanga)...
Mimi nilikuwa namshangaa maza .....
 
Hongera mkuu kilichonishangaza $800 kwa wakati huo nahisi $1=500-1000 ko ni kama pesa taslimu 800,000/- au 400000/-

Kipindi hiko mshahara wa mwalimu tsh haukuzidi hata 50,000/-

Kama ulikua abroad ni sawa ila kama kibongo huku mzee ningeshtuka sana.
Najua mkuu nakumbuka hiyo tv ilidumu zaidi ya miaka 20 ikitumika
Kwa sasa tv zimeshuka bei ingawa zimeboreshwa lakini kwa sababu ya competition na makampuni mengi kuongezeka zinaonekana ziko chini sana kwa bei
Yaani enzi hizo unashuka na mzigo unapita tu hata huulizwi kitu maana nilikuja na vitu vingi na immigration officer aligonga muhuri passport na kuandika returning home, how good was that
 
Kabisa mkuu, mimi mshua wetu alipewa zawadi na wajapani kipindi wamekuja kuweka mradi wa maji vijijini 90's (aliwapa hifadhi bila malipo mmoja wao alipokuja Tanzania wakamfanyia sapraizi) Tv ilikua kampuni ya Panasonic ..aisee japo tulikua tunatumia jenereta haikuharibika i mpaka leo ipogo tu japo haitumiki ni imara hasa.
 
Wakati huo Panasonic, Toshiba, Sony na Sanyo ndio zilikuwa zinatamba sana
Na vya zamani kwa kweli vinadumu sana kwa sababu walitengeneza kwa uhakika wa kudumu na walikuwa wana imani zao sio wa sasa ambao wanataka iharibike ununue nyingine

Mkuu imebidi niangalie tv za zamani bei zake hebu angalia zilipotoka miaka ya 50 utashangaa bei
Kwa kweli tuko nyuma sana mkuu na bila utawala wetu tungejaribu kuwa na ahueni kidogo
20190516_214402.jpg
 
Back
Top Bottom