Recent content by Zuwely salufu

  1. Z

    JamiiForums Tanzania UKAWA mkishagomea/zomea hotuba ya Rais mkumbuke kuchukua vitabu vya hotuba yake

    Umesharamba nini maana huwezi kusimulia mvua kama haijakunyeshea au na ndiyo......... Funguka
  2. Z

    JamiiForums Tanzania John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

    tupe jipyaulilonalo wewe maana naona mihemko imekuzidi
  3. Z

    JamiiForums Tanzania UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    unaijua aibu wewe au unaropoka?
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu nitampata kupitia jf

    Uko tayari kuwa mke wangu wa pili
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Nimesoma lupalama A mwaka 1988 hadi 1994 nawakumbuka washikaji kibao. Kama basil, mwavika, kilagwa mgimwa, ester shole n.k.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe avunja sheria tena; Afanya mkutano wa hadhara Bagamoyo kinyume cha sheria

    Unahasira kwa kuwa umeachwa na mwigulu
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mpasuko CCM, Mwanzilishi wa CCJ aweka adharani majina 37, wote wakiwa vigogo toka CCM

    Nape amesema ccm ni chama chenye kuruhusu maoni na mitazamo tofauti ya hoja kutoka kwa wanachama
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Pinda akamatwe na ashitakiwe ni mchochezi.

    Inaonekana pinda kachoka kufikiri na mwisho wake umefika
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Arusha MULONGO kutofika eneo lilipotokea mlipuko wa Bomu ni sahihi?

    Tunajua mkuu wa mkoa kuna watu hawapendi hata kuwasikia hasa wanafunzi wa vyuo na wanachadema aende akafanye nini
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Jicho Pevu: Kilicho nyuma ya pazia kwenye mlipuko wa bomu mkutano wa CHADEMA Arusha

    Kila lenye mwanzo lina mwisho
  11. Z

    JamiiForums Tanzania President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Anae bisha na kuleta kejeli juu ya kauli ya kikwete ajiulize anafaidika na nini kwa wakongo kuuwawa na askri wa kagame? Lakhni mwisho wa siku kagame atambue kuwa sisi ni taifa kubwa tunaweza hata yeye kumwondoa madarakani na kumweka mtu wetu kama tulivyo fanya uganda kongo na burundi
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nakeleka na mbunge anapo changia hoja kutaja chama

    Nimekuwa mfuatiliaji bunge letu laJMT kwa kipindi kirefu, lakini ninachokereka nacho ni pale mbunge anapoanza kwa kushukuru chama chake kana kwamba yuko kwenye mkutano wa chama na kuacha hoja ya msingi, lakini pia nakeleka na uungaji hoja mkono wakati huo huo unakuta mbunge husika analalamika...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Jussa kawaponza wapemba Dar

    Ulibelali huo unaingia zanz
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Sitta ameliona hili mapema

    Kinachodaiwa hapa si urais ni mamlaka za juu kuwa tatu kiitifaki itakuwaje ndio inayoleta shida ndio linakuja wazo la kupunguza baadhi ya mambo ambayo hayawezi kuleta mkanganyiko kiutendaji
  15. Z

    JamiiForums Tanzania SITTA: Serikali tatu ni kujitafutia ulaji.

    Mbona hoja yake ni nzuri tu tatizo liko wapi yeye kama Mtanzania ametumia haki yake ya kutoa maoni na kujieleza kutoa yale anayoyaona na sisi tusipoteze nguvu zetu kwa kubeza kishabiki tupinge hoja kwa hoja na siyo hoja kwa kutusi au kukashifu mawazo yake
Back
Top Bottom