Nakeleka na mbunge anapo changia hoja kutaja chama

Zuwely salufu

Senior Member
Oct 7, 2012
105
20
Nimekuwa mfuatiliaji bunge letu laJMT kwa kipindi kirefu, lakini ninachokereka nacho ni pale mbunge anapoanza kwa kushukuru chama chake kana kwamba yuko kwenye mkutano wa chama na kuacha hoja ya msingi, lakini pia nakeleka na uungaji hoja mkono wakati huo huo unakuta mbunge husika analalamika kuwa kwenye jimbo lake kunamatatizo kedekede, hii imekaa vipi wanajukwaa?
 
Back
Top Bottom