Mkuu hili unasema ww...erolink wapo leo kesho na hata mwakan..serikal ilishasanda zaman...kama uaminin nenda voda customer care mshahara uleule na wapo had sasa...serikal haiko makin hii usipoteze muda wako...
Shikamoo bakhresa...but huku kanda ya ziwa jaman usafir taabu lete hata moja bas..nana ss huku wenye vyombo chakavu tusiloge ikija hiyo bot huku kanda ya ziwa....kuna kipindi alileta moja kaz...washa haiwaki mpaka ikarudisha bod ikawaka...sasa inafanya kaz zake unguja
Amefanya vizur..hii ndio dawa yake.we fikir tanzania kungetugwa sheria mafisad wauawi unafikiri kungekuwa na ufisad au kama ungekuwepo ni kidogo mno...naunga mkono mauaji hayo ata huku ipitishwe hiyo sheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.