Recent content by zuSzu36

  1. zuSzu36

    Dr. Lwaitama apewe uenyekiti CHADEMA na kugombea Urais 2020

    Kwann acwe mwenyekiti Wa ccm?
  2. zuSzu36

    Nchi 5 zenye jeshi imara afrika Tanzania haipo pamoja na sifa zote wanazojipa

    Ukishindwa kujua ni uvivu wako tu cz wote mnaajiriwa pamoja ila badae ndo mnapangiwa majukumu tofauti lakini maisha ni Yale Yale na story mnapiga kama kawaida kila mtu kumtambia mwenzie na wengne mnabadilishana utoauti Wa vitengo vyao wala usifikiri kuna siri sana kati ya mjeda na mjeda ni...
  3. zuSzu36

    Nchi 5 zenye jeshi imara afrika Tanzania haipo pamoja na sifa zote wanazojipa

    [emoji13] [emoji13] hawana kifurushi maana buku saba ukiigawanya matumizi yake jins maisha yalivyobana hupati hata ya vocha
  4. zuSzu36

    Malipo ya madeni kwa watumishi wa Umma kwa mwezi wa tatu

    Me jina lngu lilikuwepo ila nilipoenda kuchungulia account nikakuta nill nijickia kama moyo wngu umepiga shoti ila ckuwa na jinsi wala Wa kumlilia nipo nasubilia miujiza ya mungu ila kiukweli inaumiza xna
  5. zuSzu36

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Ni ngumu xna kutumia mawazo na mbinu zile zile mlizotumia kipindi nchi ina watu million 36 halafu bado unawaza kuzitumia kwenye ambayo tayari ina idadi ya watu 56 milion
  6. zuSzu36

    MTAZAMO; Wanaoshadadia maandamano ni wezi, waliotumbuliwa, n.k

    Ndo maana umesema mtizamo wako na wengi wetu humu hatuna imani na kinachokupa mtizamo wako inawezekana ubongo wako haupo sawa labda cha kukusaidia nenda milembe wakuhakikishie kama upo timamu au laa
  7. zuSzu36

    Tetesi: Mifumo mipya ya e- passport yapata hitilafu

    Heheheeehehe!tenzaniaaaaaa
  8. zuSzu36

    Waziri wa Fedha afichua siri ya watu ‘kuchacha’

    Hata wakijaa bunge zima wachumi hakuna lolote kama bunge litashindwa kukaa kando na serikali na kutenda kazi yake ya kuisimamia serikali kwa kigezo cha chama tawala ni bure tu kama viongozi Wa bunge wataegemea kwenye chama zaidi kuliko kusimamia rasilimali na kufuatwa kwa utaratibu Wa sheria za nchi
  9. zuSzu36

    Waziri Mpango akiri hali tete nchini, wafadhiri wajiondoa kutoa misaada kwa Tanzania, na biashara kufa kutokana na kodi

    Sasa wale viongozi waliokuwa wanajiudhuru kuunga mkono upande Fulani kwa kazi nzuri vp watarudi baada ya kukuta mambo ndo yanazidi kuwa mabaya means kwamba akuna kilichofanyika
  10. zuSzu36

    Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

    Mkuu naomba niunge please 0659674181
  11. zuSzu36

    Carol Ndosi: Barua kwa Rais wangu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Maandamano sio kuna watu wanazimisha watu kkuandamana bali ni haki ya kila mtanzania according to katiba ndugu tuliza mchono na mihemko yako ya kutetea hata usichokijua kisa uonekane kumbe sio lolote unadhalaulika tu jinsi ambavyo hujui hata katiba ya nchi yako ithnk kwa akili hii utakuwa...
  12. zuSzu36

    CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Jibu kwa hoja sasa huko kulialia kwako kutakusaidia nini badala ya kujibu alipokosea kama hakuna basi ulitakiwa uwapongeze akili kubwa
  13. zuSzu36

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Wakuu me nina mtaji Wa milioni mbili na nusu ila naomba ushauri ni kibiashara gani naweza Fanya nikiwa hapa dar angalau iniingizie kuanzia elfu kumi na kuendelea !?kama kuna mtu yupo mwenye idear ya biashara ya kufanya hapa dar kwa mtaji huo naomba anisaidie na nipo tayari hata kununua ushauri...
  14. zuSzu36

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Wakuu me ni mgeni hapa dar nmehamia cku c nyingi lakini kutokana na mazingira yenyewee na me ni mjasiriamali japo ninafanya kazi nilikuwa naomba msaada wenu ni kitu gani au biashara gani naweza kufanya kwa mtaji Wa milioni mbili na nusu angalau iniingizie kuanzia elfu kumi na kuendelea...
Back
Top Bottom