Acha uzuzu wewe unaifaham good grammer au unaiskia tu. Hilo tamko la ubalozi wa marekani umeandikwa kifasaha na umesimama ndii. Nyie majuha cjui mnataka majanga gani yaangukie hii nchi yetu takatifu. I dont expect anything less from uneducated uncivilized morons such as yourself and your fellow...
Tru dat, wengine wanashindwa kutake home vitu ------------ na mabwana zao wanajua mumewe akiona atashtukia dili. Haswa haswa valentine day ukiona mdada ameweka maua ofisini wiki nzima hajapeleka nyumbani ujue zimetoka kwa playboy wake
Kuna msemo usemao "if you dance to the music you have to pay the piper" kwa dalili zote hawa wahisani wanataka shikisha mtu ukuta. Popular sentiment says tukatae mwongozo huu lakini economic constraints and tamaa kwa upande wa viongozi wetu utatushikisha ukuta tuu. Budget haijabalance afu...
Mbona wazungu tayari wako "in charge" angalia nyuma ya pazia na utakuta mchawi wako anacontrol mambo. Nyerere aliita hiyo kitu neo-colonialism na tofauti na waafrika wengi alikuwa na jicho la mbali saana afu "he didnt drink the koolaid" alivyokuwa nje ya nchi akisoma shule zao. Ni vigumu sana...
unajua kuna correlation kubwa kati ya "whistleblowers" (wanoko) na maangamizi yao kijamii na kisiasa. Ukiangalia mtu kama Malcolm X ambaye alitupwa na wenzake baada ya kufanya mambo similar to ZZK ambayo yalichefua watu ndani ya chama chake inasikitisha sana jinsi watu wenye integrity...
Are you f'n serious? Kauli nyingine hapa jamvini ni za kutibua watu tuu, labda kweli wewe ni tabula rasa ambaye ulisoma shule ya kata hamna kitu kimeingia akilini mwako ukalipe hiyo kodi we na babaako. Sipati picha hizo hela zitakazochangishwa zitatumika kwa manufaa ya taifa (unless ufisadi ndo...
Dalili ya mvua ni mawingu na kwa mwenendo huu machafuko yatakuja tuu alafu vibibi na watoto ndo watateseka haswa,mungu tuokoe na hili janga. kwa kutumia jicho la mbali hali inazidi kuwa mbaya watu wamechoka jamani.
Sometime sijui niseme nini maana niko speechless, afu cheki watakuja watu humu kuwatetea hao polisi ni kama vile utani lakini haichekeshi. Sipendi vurugu lakini mtu atavumilia mpaka lini? Majadiliano hayasaidii, tume hazisaidii dawa iliyobaki ni kuchapana bcoz haya hayana mwisho kwa mwenendo huu.
Mkanda wa jeshi ni noma kwa kweli na inaleta wasiwasi mtu amekanyaga mawaya akiugua umri mdogo chini ya miaka 30, lakini kwa wazee haswa inaweza ibuka wakati wowote ule kwahiyo kama umezidi miaka 30 ukapata nenda ukapime ukimwi kuondoa shaka lakini haimaanishi umeathirika
Sasa jamani ukizingatia kihistoria hii concept ya one man one woman ni idea mupya sana, hata mbeleni nyumba ndogo ilikuwa kitu cha kawaida sana ukirudi nyuma miaka 100 hivi. Mimi binafsi nahisi wale mawife wanaotaka "faithful husband" wamepata man wa ukweli, wale ambao hawamind kushare bado wako...
They weigh 220 kilograms and there's 10 of them on one plane. Roadside saviors -- you may need a bigger wrench
By CNNGo staff 2 February, 2012
There are many things about air travel we take for granted: that drinking whiskey at 10 a.m. is OK; that moving your feet in small circles counts as...
ubungoubungo rejea mwanzo wa kauli yangu au unahitaji tafsiri? ni mpumbavu ambaye anabishana na mpumbavu! kwish kazi. kapokee mshiko wako changu we, bidii zako sio bure angalau umeopoa kitu kidogo dona dagaa hiyoooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.