Recent content by Zumbe Kimweru

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Nchi ilifika pagumu, tumuombee Magufuli

    Niwe mkweli haya mambo ya unafiki yalimshinda Dr.Slaa.Ni unafiki unafiki unafiki unafiki! !!
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ijue Kamati Maalum ya maridhiano kuhusu uchaguzi Mkuu uliofutwa Zanzibar

    Uanadiplomasia.. ni unafiki..wengine tusingeweza .Yaani mtu ameshinda, mnadai mariadhiano
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji auchambua utawala wa Rais Magufuli

    Acha kupotosha, UKWELI NI UKWELI Tu. Unakwenda kwny issue za mahaba na Ushabiki nazungumzia uchambuzi wakina wenye ukweli..
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete akataa kuishi Msoga? Anataka kuishi wapi?

    Mzee wa st peters Habari?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!

    huyu jamaaa alijidai mshauri wa Zitto mpaka kamvuruga dogo wa watu....,mara utetezi kwa Tbc.Kiukweli huyu kabobea..
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Gia ya angani ilivyowavuruga kina Cheyo, Mrema, Shibuda akasalimika Zitto

    Jk kambeba Zitto sana. ,..
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji auchambua utawala wa Rais Magufuli

    Ukifuatilia vzuri makala zake waweza kusema Jenerali Ulimwengu ni profesa, uchambuzi mzuri wenye ukweli. Tofauti na Pro-pesa Kitila et al,
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli Afanya Mazungumzo Na Shein Leo Ikulu

    Cha kushangaza mwenyekiti wa Tume ya usuluhishi ni Dr SHEIN ambaye yupo madarakani mpaka sasa ...Seif katika IPO yaani sokoni mapema..
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!

    Wakuu nikisema kwa hisia kutoka moyoni na kusoma maandishi behind the scene PASCO NI MNAFIKI MBOBEZI.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Star tv leo mmetoa somo kwa TBC 1

    acha unyumbu ww, majaliwa ni mwisilamu?.shensi ww Punda wa lumumba.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Sheikh ponda akipambana mnamwacha!!!.Hili tamko ni "zitto" sana toka litolewe hakuna uchunguzi wowote.Mtalia sana..Joyce ndo huyo..
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ukawa wapo negative na CCM

    Wewe punda wa lumumba.Kuna bk 7 hapa.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Hiphop irudi kwenye misingi,MAJIZI wa sanaa washughulikiwe 2016

    Mwaka 2016 ni mwaka wa mafanikio kwa wasaniii hasa wa muziki kimapato kwa nyimbo zao mbalimbali kuanza kufaidika nazo Je wasanii wa sanaa nyingine watafaidikaje ? Lakini mwaka 2015 unaisha tukiona misingi ya HIPHOP ikivunjwa kuliko hapo awali,kwani walitokea watu wachache ambayo hapa naweza...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera Masauni , umeshinda fitna ya umri UVCCM .

    Magu bhana CCM wabunge zaidi 200 bado analeta nyumbu.
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Aisee mwenye ya maripota wa Tabora & Kigoma RTD enzi hizo aweke jukwaani.
Back
Top Bottom